Watu wengi hawanielewi ninaposema nina malengo ya kugombania urais mwaka 2035

Mkuu rudisha avatar picha yako tuliyozoea kwa kile kipaka kimevaa mawani na kofia.
 
NOTE
Nchi zilizoendelea mifumo yao imenyooka ila kwa Tanzania mifumo yake sio mizuri ni kawaida kumuweka Rais kilaza
Duh...!
Tatizo kubwa sana la Tanzania ni kupata viongozi nafasi za juu kwa ngekewa ukweli ni kwamba majority ya marais wa Tanzania hawakuwa na mpango ya kuwa Rais wa Tanzania wengi ilitokea kama zali
Ni kweli
Maandalizi nayoyaongelea ni maandalizi binafsi mfano magufuli alipata urais kwa ngekewa tunaona alivyokuwa Rais akawa haelewi aanze na lipi yote ile ni kwa sababu hakujipanga yeye binafsi kuwa Rais wa Tanzania ilitokea kama zali
Wanao amua nani awe mgombea Urais wa Chama Kubwa sio hao wagombea, ni watu wachache wanaoitwa the inner circle, hivyo japo Magufuli anajijua kuwa yeye ali beep tuu, simu ikapokelewa, hivyo akajihesabu ameupata Urais kama zali, hivyo akajijua, yeye ndie yeye, kwenye urais wake, hana ubia na mtu, kumbe masikini wa watu hakujua!, angalia tarehe ya bandiko hili!, GE2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli

As a result, they did away with him, ikawa ndio kama vile!
Sisi tunasubiria 2030 watu wakajaribu bahati zao ikitokea zali basi wanakuwa Rais ila hakuna maandalizi yeyote binafsi
Nyie endeleeni tuu kusubiria rais wa 2030 kama zali, akina sisi tunamjua rais wetu wa 2030 ila hatumtaji Trends Reading: Japo Rais wa 2030 Namjua, Simtaji ili Kumlinda!. Be The First to Know Good News Kawe-2030, MB.ni Mwanamke!, Kawe Itapaa kwa Maendeleo!
P
 
Nakuunga mkono ndugu yetu mtanzania mwenye ndoto zako kwa faida ya Taifa. Ila umekosea hapo ulipomshambulia JIWE. Kwa hilo tu sina namna niungane na hiyo miezi michanga hapo juu kukupiga mawe.
 
Nakuunga mkono ndugu yetu mtanzania mwenye ndoto zako kwa faida ya Taifa. Ila umekosea hapo ulipomshambulia JIWE. Kwa hilo tu sina namna niungane na hiyo miezi michanga hapo juu kukupiga mawe.
Magufuli angejipanga angekuwa Rais mzuri sana ila aliupata urais kwa ngekewa
 
wala uijali .. kwenye maisha ili uwe nafuraha ni lazima ufanye mambo kwa kubetia nje na hapo huto yafurahia .. ww bet tu lamhimu ridhiko.
 
We jamaa nilkuwa nakuheshimu sana.

Ila kwa hilo suala la Magufuli kusema alikuwa hajui aanzie wapi na unafahamu fika alikuwa anafahamu analolifanya, nimekudharau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…