secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Wengine ni usalama wa taifa wanakusanya taarifa za nchiVichaa mitaani ni wachache mno, hawa wanaotembea na kuokota makopo, sijui kuomba msosi sio vichaa.
Mtu mchana unamuana kichaa, lakini usiku alishakula na kushiba anapiga story hadi unashangaa. Wengine usiku wanageuka kuwa wapiga roba za mbao!
Chunga sana!
Wengi wao ni watu waliokata tamaa na kujifanya vichaa ili waonewe huruma wapata kula.Wengine ni usalama wa taifa wanakusanya taarifa za nchi
Sahihi piaWengi wao ni watu waliokata tamaa na kujifanya vichaa ili waonewe huruma wapata kula.
Mmoja Jana nilimkuta sahemehu amesimama mbele yangu huku amenikodolea macho, namwongelesha kiswahili, anagongea lugha ya ajabu ajabu (si kiswahili), nilimkata kibao kimoja cha heshima.Sahihi pia
Roho mtakatifu alikuwa hajakuingia ndiyo maana hukuweza kunena na kusikia kwa lugha.Ulimpiga kibao mtu mwenye upako!Mmoja Jana nilimkuta sahemehu amesimama mbele yangu huku amenikodolea macho, namwongelesha kiswahili, anagongea lugha ya ajabu ajabu (si kiswahili), nilimkata kibao kimoja cha heshima.
Jamaa alitoka mbio huku akailalamia kwa kiswahili kuwa anaona kizunguzungu. Na hapo Kwa zaidi ya miaka mitano watu wanamjua kuwa ni kichaa haswa.
Hawa jamaa nitaendelea kuwapiga makusudi ili nibaini kama kweli ni vichaa ama la.Roho mtakatifu alikuwa hajakuingia ndiyo maana hukuweza kunena na kusikia kwa lugha.Ulimpiga kibao mtu mwenye upako!
Huyo kweli ni hatari. Baadhi mpaka wanakuwa viongozi wa serikali kabisa.Ongopa kichaa anaejifanya mzima
Hawa ndio wamejaa.Wengine ni usalama wa taifa wanakusanya taarifa za nchi
Ile kauli ya 'mwanaume ule kwa jasho' inawatisha watu hadi wanajifanya vichaa.Mbona wanawake wa Aina Hiyo hawapo asilimia kubwa ni wanaume
Vichaa ambao ni usalama kama wapo ni wachache sana. Wengi wanajifanya vichaa kwa ili kukimbia majukumu na kutaka kuonewa huruma na wanajamii.Bongo mnaamini vichaa wote ni usalama. Hii nchi raia, usalama, na vichaa wenyewe wote hakuna tofauti.
Hatari sanaHawa ndio wamejaa.