kuna sehemu tulikuwa tunaenda kunywa supu ya kongoro kila siku jioni kipndi tupo chuo siku ya siku mara ndo tunatoka kunywa supu mara maji ya kunawa yakawa yamejaa wanaenda kumwaga tukasema ngoja na tuone wanamwaga kweli au ndo wanapeleka wapi heeeeeee bwana we wakayamwagia kwenye vyombo vya kulia tulihisi kutapika tukaondoka wapole kama tumemwagiwa maji baridiMaji mnayonawia mikono yana kwenda kuoshea vyombo
Kumbuka dumu 500kuna sehemu tulikuwa tunaenda kunywa supu ya kongoro kila siku jioni kipndi tupo chuo siku ya siku mara ndo tunatoka kunywa supu mara maji ya kunawa yakawa yamejaa wanaenda kumwaga tukasema ngoja na tuone wanamwaga kweli au ndo wanapeleka wapi heeeeeee bwana we wakayamwagia kwenye vyombo vya kulia tulihisi kutapika tukaondoka wapole kama tumemwagiwa maji baridi
hahah sawa bwana wasilazimishe kufanya biashara watupe matumbo ya kuhara maana unashangaa unaenda class kesho yake unahisi kukimbiza kimbiza mwenge hivi kumbe bwana ni chemistry ya jana ya vyombo na kongoroKumbuka dumu 500