Watu wengi wako Smart Nyuma ya Keyboard na wengine Kinyume Chake!

Majira Haya ya saa tatu kasoro usiku huu nikiwa nyuma ya keyboard ya computer yangu nikiwa natafakari mambo kadha wa kadha hili wazo limenijia kichwani. Nikachukulia kama jambo dogo ila naona akili yangu haitaki kuipa nafasi ya kulipotezea.

Kwa mfano hapa JamiiForums wapo watu wengi wapo smart sana nyuma ya keyboard (Wanaandika vitu sensitive na smart), pia wapo ambao ni kinyume cha hapo yaani wao wana uwezo wa kuponda na lugha za matusi.

Lakini pia nikawa najiuliza hawa watu pia wako smart katika maisha ya kawaida? sometime natamani kuonana nao japo nipate kuzungumza nao nigain kitu (Kati ya watu watatu naamini kuna mwalimu atayenifunza jambo ambalo silijui).

Lakini pia hawa wa upande wa pili natamani hata kukutana nao nijue tofauti na nyuma ya keyboard huwa wapo hivi? najua pia ningepata cha kujifunza kutoka kwao.

Hongereni Nyote ambao Mnaonesha usmart wenu Pamoja na kwamba Hatujuani!
Usiogope we sema tu unahamu ya kukutana na nani humu? Wataje tu kwa majina watu unaotaka kuwaona, mnataka kudausoni watu humu
 
Mlitoka kwenye tujuane mitaa tunayoishi na mji

leo tena tufahamiane kwa usmart asee mbona mbinu zenu ni za kale hivyo !!!!

hamtupati ngastuka
Mwanangu Upload Ngoma ya Jambo squad Ngastukaa
 
Usiogope we sema tu unahamu ya kukutana na nani humu? Wataje tu kwa majina watu unaotaka kuwaona, mnataka kudausoni watu humu
hahahahaaa
 
Majira Haya ya saa tatu kasoro usiku huu nikiwa nyuma ya keyboard ya computer yangu nikiwa natafakari mambo kadha wa kadha hili wazo limenijia kichwani. Nikachukulia kama jambo dogo ila naona akili yangu haitaki kuipa nafasi ya kulipotezea.

Kwa mfano hapa JamiiForums wapo watu wengi wapo smart sana nyuma ya keyboard (Wanaandika vitu sensitive na smart), pia wapo ambao ni kinyume cha hapo yaani wao wana uwezo wa kuponda na lugha za matusi.

Lakini pia nikawa najiuliza hawa watu pia wako smart katika maisha ya kawaida? sometime natamani kuonana nao japo nipate kuzungumza nao nigain kitu (Kati ya watu watatu naamini kuna mwalimu atayenifunza jambo ambalo silijui).

Lakini pia hawa wa upande wa pili natamani hata kukutana nao nijue tofauti na nyuma ya keyboard huwa wapo hivi? najua pia ningepata cha kujifunza kutoka kwao.

Hongereni Nyote ambao Mnaonesha usmart wenu Pamoja na kwamba Hatujuani!
Hivi keyboard inakuwa mbele yako au nyuma yako?
 
Mada yako ni nzuri tena iko advanced.
Kama unataka kujifunza, nenda pm mtayamaliza na utajifunza mengi mno ila kwa kusema muonane ni ngumu sana.

Vijana wengi wamejazana magerezani kwa makosa yasiyojulikana na wasiojulikana wako kazini kila siku.

Kama unataka kujifunza, ridhika na post zinazotolewa hapa jamvini, kama hujaelewa uliza tu utajibiwa tu japo unaweza pata jibu sahihi au lisilosahihi.
 
Asante boss kwa ku advance lengo la Mada
 
Haya mambo ya kupima Usmarti kupitia comments zetu humu sio kabisaaa,nakupa mfano mrahisi kabisaa

Kuna mtu humu Jf alikuaga anaheshimika balaa anatoa ushauri wa kimaisha balaa full ustaarabu mara paaap kumbe alikua anawafuata watu huko inbox anawaomba "ASSIST" na akipewa ndo mazima hio inshort alikua Tapeli tu.

Mtakua mmeshamfahamu "MZEE WA ASSISTS".
 
hahahaa sasa mbona huo ni usmart toshaa dingii
 
Back
Top Bottom