sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Ndio kawaida ya watu wengi kufikia conclusion wakiona mtu karuka ghorofani basi kajirusha,
Tukumbuke pia kuna kuruka kwa mazingira haya.
A. Kurushwa na mtu au watu wengine kwa nguvu, hapa inaweza kuwa mtu anasukumwa kwa nguvu ili adondoke, kuna watu wana nguvu hana haja kukusukuma anakurusha kama mpira,
B . Kutishiwa - Hapa inawezekana kuna mshambuliaji ana bunduki, panga, n.k. muhanga anaona bora ajirushe tu maana hata kama hao watu hawana nia ya kumrusha wanaweza kumteka na kumpeleka kwenye mateso ya kuliwa na siafu mpaka kifo ama kurekodiwa video ya kumuondoa utu,