Mimi Ni Mtu Wa Mungu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2021
- 679
- 1,295
Kuna swali maarufu la jeshi letu la Polisi Nchini pindi raia apelekapo mashtaka Polisi
'Unamuhisi Nani'.
'Unamuhisi Nani'.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanafunga jaladaMimi nawajibu sihisi chochote
Kote duniani au hapa hapa bongo!Wanafunga jalada
tena ukikuta askari mnonko anakufungulia kesi ya kulisumbua jeshi la polisiWanafunga jalada
na je kama hujawahi kuambiwaSasa kama kuna mtu aliwahi kukuambia utaona si unapaswa kumtaja au.
kumbeWanafunga jalada
kwaiyo ni lazima utahe unaemuhisiWanafunga jalada
hii unaikuta hapa Afrika kwa wenzetu ukimtaja wanaanza kumfanyia upelelezi kwanzaKote duniani au hapa hapa bongo!
sio lazima lakini pia kutaja sio shidakwaiyo ni lazima utahe unaemuhisi
mapema sanaUkijibu tu umesaga kunguni
Na utatoa pesatena ukikuta askari mnonko anakufungulia kesi ya kulisumbua jeshi la polisi
kawaidaNa utatoa pesa
kuna jamaa kaka rumande miaka 12 na nusu yeye na mke wake kwa kuhisiwa mauajiKuna swali maarufu la jeshi letu la Polisi Nchini pindi raia apelekapo mashtaka Polisi
'Unamuhisi Nani'.
Hii ilishawahi kumtokea mtu ninayemjua, walizinguana na mwenzie eneo la kazi akamwambia "nitakuonesha ama zako ama zangu, ndugu zako watalia na kusaga meno..." baada ya wiki mbili jamaa akavamiwa na wezi wakamuua, kila mtu akasema mshukiwa ni fulani alisema hivi na vile, alijutaaa alikaa mahabusu miaka 7 hadi kupatikana wauaji halisi,Ndo maana unashauriwa kutomtishia mtu hadharani...ukisema Tu "ntakuonesha"...akaja mtu mwingine akamua huyo mtu...Hadi uje upatikane huna hatia usishangae miaka kumi imepita