Knight rider
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 455
- 685
Huu us*nge unapatikana Tanzania pekeekama kawaida polisi hutoki bure hata kama ulihisiwa na wamekosa ushahidi, utatoka na hela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu us*nge unapatikana Tanzania pekeekama kawaida polisi hutoki bure hata kama ulihisiwa na wamekosa ushahidi, utatoka na hela
Watajie namuhisi hecheKuna swali maarufu la jeshi letu la Polisi Nchini pindi raia apelekapo mashtaka Polisi
'Unamuhisi Nani'.
Hivi kuna askari sio mnonko?tena ukikuta askari mnonko anakufungulia kesi ya kulisumbua jeshi la polisi
wapo ila ni wachache sana yaani ni wa kutafuta kwa tochiHivi kuna askari sio mnonko?