Knight rider JF-Expert Member Joined May 10, 2023 Posts 455 Reaction score 685 Jun 17, 2023 #21 Mtukutu wa Nyaigela said: kama kawaida polisi hutoki bure hata kama ulihisiwa na wamekosa ushahidi, utatoka na hela Click to expand... Huu us*nge unapatikana Tanzania pekee
Mtukutu wa Nyaigela said: kama kawaida polisi hutoki bure hata kama ulihisiwa na wamekosa ushahidi, utatoka na hela Click to expand... Huu us*nge unapatikana Tanzania pekee
mgen JF-Expert Member Joined Nov 18, 2010 Posts 23,169 Reaction score 9,054 Jun 17, 2023 #22 Ganja ni dawa said: Kuna swali maarufu la jeshi letu la Polisi Nchini pindi raia apelekapo mashtaka Polisi 'Unamuhisi Nani'. Click to expand... Watajie namuhisi heche
Ganja ni dawa said: Kuna swali maarufu la jeshi letu la Polisi Nchini pindi raia apelekapo mashtaka Polisi 'Unamuhisi Nani'. Click to expand... Watajie namuhisi heche
BUSH BIN LADEN JF-Expert Member Joined Mar 16, 2019 Posts 8,447 Reaction score 19,425 Jun 17, 2023 #23 Ganja ni dawa said: tena ukikuta askari mnonko anakufungulia kesi ya kulisumbua jeshi la polisi Click to expand... Hivi kuna askari sio mnonko?
Ganja ni dawa said: tena ukikuta askari mnonko anakufungulia kesi ya kulisumbua jeshi la polisi Click to expand... Hivi kuna askari sio mnonko?
Mimi Ni Mtu Wa Mungu JF-Expert Member Joined Dec 8, 2021 Posts 679 Reaction score 1,295 Jun 17, 2023 Thread starter #24 BUSH BIN LADEN said: Hivi kuna askari sio mnonko? Click to expand... wapo ila ni wachache sana yaani ni wa kutafuta kwa tochi
BUSH BIN LADEN said: Hivi kuna askari sio mnonko? Click to expand... wapo ila ni wachache sana yaani ni wa kutafuta kwa tochi