Watu wengi wanaamini mimi ni Genius Lakini Mimi Sioni Hilo!


Hata le profeseeeee Lipumba alikua genius ila alipoishia Mungu ndio anajua

Ahsante
 
Hebu pitia kwa Teacher Deo atakufumbulia fumbo hili.Ikishindikana muone Dr.Shika hata kama kuna tatizo atatibu;na ikishindikana kabisa mtembelee "Nabii"Tito kwa ushauri zaidi
akishafaulu huo uhitimu wa hayo masomo toka kwa hao manguli uliowataja ..basii jiandae kumuona siku akiwa kavua nguo nakujinadi kuwa suit yake sio yakushonesha..kitu from dubai
 
wanakwambia una ugenius wa nn ?? kuna ugenius wa kufaulu test darasani,kuna wa kuimba,kuna wa kuigiza,kuna wa kutapeli watu n.k
je wako ni upi??
hajui kama u genius upo kwenye sekta tofauti...
 
Haya labda aongee the bold tutaelewa!we hujawahi hata kuleta cha maana humu zaidi kujisifia we na mazeri wako
 
Haya labda aongee the bold tutaelewa!we hujawahi hata kuleta cha maana humu zaidi kujisifia we na mazeri wako
HUyo ni nani wako?
 
Mtaalam, inaonekana umezungukwa na watu wanafki mnoo... jitahid kutafuta marafik wapya..
Halaf kuna sehem umeandika finaly... bila shaka ulitaka kuandika finally... kuwa makin kwenye mambo kama hizo mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…