Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
BecauseWhy?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BecauseWhy?
Hakika.We utakua geniASS
Nilisoma Shule (Ya Msingi) ambayo Mama alisoma na waalimu wa Pale waliokuwa wanamjua mama wakadai Umerithi Akili za Mama yako, wakaenda mbali kwamba Mom was a Genius hakuwahi shika Namba tatu alifeli sana akashika namba mbili na it was once!
Aah kwa kuwa nilikuwa mtoto wala sikujali sana kuhusu ilo, ila nnachokumbuka ni kwamba i learned everything fast.
Sikumbuki lini nimejua kusoma ila nakumbuka hata before darasa la kwanza nilikuwa najua mathematics.
Hio hali ikaendelea Mpaka O level, A level na Maisha yangu ya kawaida mtaani popote pale ntapoishi! they consider me as a genius!
mpaka kwenye mazungumzo nikizungumza na mtu finaly nasikia kwa washakji au marafiki zake kwamba the guy is genius lakini mimi sitambui hilo!
sasa wanainteleijensia nisaidieni how can i feel it if i am genius?
akishafaulu huo uhitimu wa hayo masomo toka kwa hao manguli uliowataja ..basii jiandae kumuona siku akiwa kavua nguo nakujinadi kuwa suit yake sio yakushonesha..kitu from dubaiHebu pitia kwa Teacher Deo atakufumbulia fumbo hili.Ikishindikana muone Dr.Shika hata kama kuna tatizo atatibu;na ikishindikana kabisa mtembelee "Nabii"Tito kwa ushauri zaidi
hahaaaaa aiseeeWewe ni **** unaingia kwenye kundi LA majuha wenzio akina magu ,bashite ,kigwangala,mwigullu,
Msalimie Mwl wako wa mwandiko
hajui kama u genius upo kwenye sekta tofauti...wanakwambia una ugenius wa nn ?? kuna ugenius wa kufaulu test darasani,kuna wa kuimba,kuna wa kuigiza,kuna wa kutapeli watu n.k
je wako ni upi??
We ndo unaniambia.... mi sikuwaza kote huko.hii ni lugha ila haina implication yoyote katika ninalozungumza