Watu wengi wanaompenda Lionel Messi wana IQ kubwa mno kuliko wale ambao wanampenda Christiano Ronaldo ambao wana chache

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Binadamu yoyote aliyebarikiwa ' IQ ' kubwa na Mwenyezi Mungu lazima tu atakuwa anampenda Lionel Messi ambaye huwa anafanya sana Vitu adimu Uwanjani ambavyo pia vinahitaji Akili lakini wale wasio nazo lazima tu watafanana na Christiano Ronaldo ambaye hutumia nguvu nyingi Uwanjani pasipo akili.

Utafiti wa ' Kienyeji ' uliofanywa na GENTAMYCINE umegundua ya kwamba kila akikutana na Watu ambao wanampenda na kumkubali sana Lionel Messi huwa naona wengi Wao huwa ni ' Very Intelligent people ' tofauti na wale ambao mara nyingi mno nimekuwa nikikutana nao na Kugundua wanampenda Christiano Ronaldo ambao Kiukweli hata uwezo Wao wa Kufikiri huwa ni mdogo hadi wanatia Huruma.

Huchukua Miezi mitatu hadi minne kwa Christiano Ronaldo Kuiga kile ambacho hukifanya Lionel Messi Uwanjani ila humchukua tu Siku moja Lionel Messi kufanya kile ambacho kimefanywa na Christiano Ronaldo. Na ndiyo maana hata Wanasayansi wengi sana Ulimwenguni wamembatiza Lionel Messi jina la ' Football Genius of the Century ' kwa Vitu vyake adimu ila Wanasayansi hao hao hawakuwa na muda mchafu wa Kupoteza kuanza Kumjadili Christiano Ronaldo na aina ya Uchezaji wake kwani wameona kuwa hana Kitu cha Kumfananisha / Kumlinganisha na aliyezaliwa na Mpira wake Lionel Messi.

Ukitaka nawe ujulikane una IQ kubwa basi kuanzia leo anza Kumpenda na Kumkubali Lionel Messi ila ukitaka uanze Kuonekana ' hamnazo ' Kichwani basi Wewe mpende tu Christiano Ronaldo ambaye Yeye anachokijua ni Kutumia tu ' Miguvu ' ndipo afunge wakati Mwenzake anatumia 98% Akili na hizo 2% ndiyo Nguvu na pia Mpira wenyewe huwa unamuheshimu Yeye wakati Christiano Ronaldo huwa anaulazimisha Mpira umuheshimu.

Nawasilisha.
 
Messi anashindwa kuonyesha umuhimu wake katika mechi za kuamua matokeo CR7 anaweza badili matokeo katika mechi muhimu.
Bisha utakavyo ukweli ni huo
 
Uko Sawa ni sawa na Mashabiki wa Ali Kiba wana akili sana kuliko mashabiki Diamond hilo lipo wazi.

Nataka kujua basata ya kenya imemfungulia nyimbo zake bwana diamond na harmonizer?
 
Ronaldo ndo anatumia Akili nyingi zaidi kwasababu sio natural gifted kama Messi. Inamaana Messi anajua mpira bila juhudi yoyote. Ronaldo anajua Mpira kwa Juhudi binafsi so I prefer Ronaldo than Messi japo najua Messi ni zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda Argentina waambie Messi anatisha wakikukubalia basi mi sina neno.
 
Kama CR7 anaulazimisha mpira hakupaswa kuwa na d'or 5...
124 GOAL za CL messi avunje leo tuone.
Real madrid wanaenda wanaojua, we endelea kumkubali Messi mkuu sio dhambi ila Heshima ya Ronaldo kwenye soka haishushwi na kalamu mkuu.
 
Cristiano Ronaldo vs Lionel Messi this season
2018/19 - Serie A and La Liga stats

22(1) - Appearances - 19(2)

1995 - Minutes - 1707

18 - Goals - 21

7 - Assits - 10

2 - Yellow cards - 1

0 - Red cards - 0

4.8 - Shots per game - 6.4

82.1 - Pass success(%) - 85.6

0.2 - Aerials won - 1

10 - MOTM - 8

8.50 - WhoScored rating - 7.84
 
Messi kacheza Final na Ronaldo akafunga goli na kuamua matokeo huo sio umuhimu kumbuka pia Ronaldo alikuwepo kwenye hiyo Mechi

Mkuu nilipokuambia kuwa wale wote wanaomshabikia Christiano Ronaldo uwezo wao wa ' Akili ' ni mdogo sana ulikuwa huamini? Naona sasa kwa hiyo ' Post ' ya BONGOLALA kama ambavyo hata ' Akili ' yake pia ' imelala ' hivyo hivyo ameweza Kulithibitisha hilo.
 
ngoja tuwaelimishe waliokua wanamuona Messi yupo juu kama mimi hapo awali!
Sema umuhimu wa Messi umeonekana wapi?katika ligi ngapi?
Ronaldo EPL La liga na Sasa ya Italy na atanyakua hii uefa akiwa na timu tofauti
 
mkuu kwani unateseka na matokeo ya jana!!?

Kwann uteseke??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…