advocate kiza
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 259
- 90
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa are you serous !? Au umeropoka tu mkuu ...!!?Messi anashindwa kuonyesha umuhimu wake katika mechi za kuamua matokeo CR7 anaweza badili matokeo katika mechi muhimu.
Bisha utakavyo ukweli ni huo
Hahaa jamaa ameni shangaza sana .. now nimeamini maneno yaliyopo kwenye thread yakoMkuu nilipokuambia kuwa wale wote wanaomshabikia Christiano Ronaldo uwezo wao wa ' Akili ' ni mdogo sana ulikuwa huamini? Naona sasa kwa hiyo ' Post ' ya BONGOLALA kama ambavyo hata ' Akili ' yake pia ' imelala ' hivyo hivyo ameweza Kulithibitisha hilo.
Hahaa mkuu kweli wewe bongo lala .. ulitaka messi aende kucheza team ipi zaidi ya barca ... hadhi ya leonel messi ni team mbili tu duniani ... barca na real ..kwa sababu ndio timu ambazo huwa zipo kwenye 3, bora ya timu zinazo ongoza kwa uingizaji mapato duniani ... ndio timu zinazo ongoza kwa kulitawala soccer la ulaya mnamo karne hii ya 21, ushahidi nadhani unao kwa kipindi cha takribani miaka 10 timu za Spain ndio zimeongoza kwa kucheza final uefa na kufika nusu final ... ulitaka messi ahame Spain akacheze Epl kwenye league ambayo timu zake zina struggle hata namna ya kufuzu kuingia robo final uefa uko serious kweli .... sometimes timu hizo hizo huwa zinashindwa hata namna ya kuweza kupita Kwenye makundi na huwa zinakosa tickets ya kushiriki katika mashindano ya uefa .. Chelsea .liver. arsenal zote zimeshawahi kupitia hali hii ....ngoja tuwaelimishe waliokua wanamuona Messi yupo juu kama mimi hapo awali!
Sema umuhimu wa Messi umeonekana wapi?katika ligi ngapi?
Ronaldo EPL La liga na Sasa ya Italy na atanyakua hii uefa akiwa na timu tofauti
Messi aonyeshe uwezo wake katika ligi tofauti ni hilo tuu.CR7 kaonyeshaHahaa mkuu kweli wewe bongo lala .. ulitaka messi aende kucheza team ipi zaidi ya barca ... hadhi ya leonel messi ni team mbili tu duniani ... barca na real ..kwa sababu ndio timu ambazo huwa zipo kwenye 3, bora ya timu zinazo ongoza kwa uingizaji mapato duniani ... ndio timu zinazo ongoza kwa kulitawala soccer la ulaya mnamo karne hii ya 21, ushahidi nadhani unao kwa kipindi cha takribani miaka 10 timu za Spain ndio zimeongoza kwa kucheza final uefa na kufika nusu final ... ulitaka messi ahame Spain akacheze Epl kwenye league ambayo timu zake zina struggle hata namna ya kufuzu kuingia robo final uefa uko serious kweli .... sometimes timu hizo hizo huwa zinashindwa hata namna ya kuweza kupita Kwenye makundi na huwa zinakosa tickets ya kushiriki katika mashindano ya uefa .. Chelsea .liver. arsenal zote zimeshawahi kupitia hali hii ....
So hizo ndio club Ambazo unazotaka GOAT messi asajiliwe nazo hahaa tutake radhi aisee "!!!!
Hivi umeshawahi kujiuliza kwanini Cr7 huwa ana kataa kurejea man u .... jibu ni simple tu kwasababu haitaji kwenda katika club ambayo imekosa uwezo wa ushindani ulaya ... sasa kama ronaldo tu ambaye alipitia kwenye mikono ya epl hataki kurudi huko hali itakuwa iko vipi kwa messi !!!?
Ukweli ndio huu kama hautaki basi pasuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Cr7 kaonyesha kwa sababu hizo league ndio level yake .. .Messi aonyeshe uwezo wake katika ligi tofauti ni hilo tuu.CR7 kaonyesha