Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Lakini mganga unae muita ukiona ana tanguliza pesa mbele huyo mpigaji.Mie nilipitia visanga sana uswazi mwisho wa siku nikaamua kumuita sheikh. Ila kwa imani yangu imekuwa ni doa sana kwangu. Ila naamini kabisa wengi wanaoingia kwenye maswala haya sio kwa kupenda, mda mwingine inabidi. .
Wanaingia huko KWA sababu hawana elimu ya kutosha kuhusu ulimwengu wa ROHO unavyofanya kazi pia saikolojia ya maisha ilivyo.Mie nilipitia visanga sana uswazi mwisho wa siku nikaamua kumuita sheikh. Ila kwa imani yangu imekuwa ni doa sana kwangu. Ila naamini kabisa wengi wanaoingia kwenye maswala haya sio kwa kupenda, mda mwingine inabidi. .
Nii wachache wanatambua hualisia haupo ivyo ata kidogo kupambana na ulimwengu wa roho ni ngumu sanaWanaingia huko KWA sababu hawana elimu ya kutosha kuhusu ulimwengu wa ROHO unavyofanya kazi pia saikolojia ya maisha ilivyo.
Inategemea na nguvu au usaidizi unaoutumiaNii wachache wanatambua hualisia haupo ivyo ata kidogo kupambana na ulimwengu wa roho ni ngumu sana
Ndo nakueleza sijakataa na sijui kuhusu kazi zao za Uganga ila ukweli ni kuwa wanaoenda huko wameshachoka. Kuna watu wanapambana wanaenda kila kona kutafuta majibu mwisho wa siku wanajikuta kwa waganga. .Lakini mganga unae muita ukiona ana tanguliza pesa mbele huyo mpigaji
Nachojua dar hakuna mganga na mganga ajitangazi wale alio wahudumia ndio wanamtangaza
Zanzibar kuna kisiwa kinaitwa tumbaty kama sikosei huko ukifika unaongea na jini uso kwa uso na shida yako inatatuliwa hapo hapo ila unatakiwa uwe na ela za zamani
Ni kwasababu ndio maana wana amini90% ya watz wanaamini upumbavu huo, Ingekuwa inasaidia pasingekuwepo na masikini nchini
Wewe uliyeelimika kuhusu ulimwengu wa Kirohi tusaidie sisi wenye elimu ndogo tutoe tongotongo. .Wanaingia huko KWA sababu hawana elimu ya kutosha kuhusu ulimwengu wa ROHO unavyofanya kazi pia saikolojia ya maisha ilivyo.
Thibitisha😂Nguvu ya mamba iko ku mayi. Nguvu ya uchawi iko India
Fwata mafundisho ya kinyota zaidiTuambie tufanyaje mbadala wake
Andaa vifaa nikuthibitishieThibitisha😂
Kuku mweusi au njiwa mweupeAndaa vifaa nikuthibitishie
Ni elimu pana na endelevu sio ya dakika moja.Wewe uliyeelimika kuhusu ulimwengu wa Kirohi tusaidie sisi wenye elimu ndogo tutoe tongotongo. .
Uteja, waganga uwafanya wateja wao wawe mateja Ili waweze kuishikuna watu hata akiamka kichwa kinamuuma kidogo lazima ampigie mganga