Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #101
Kwani kuosha vyombo vibayaHuyo atafanya tubaki kuosha vyombo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kuosha vyombo vibayaHuyo atafanya tubaki kuosha vyombo
Nimemsikia 😂😂 ni wasiwasi wake tu
Na sio kila tiba mganga anatibuIla waganga wa vijijini wanaofuata masharti wako poa. Nyota yako inaweza kuchafuliwa au kuchukuliwa na wachawi usipopata mganga mzuri wa kukuganga. Ukiambiwa maisha ni mchezo ni mambo kama hayo.
Sema wengine wanakataa bule tuHaya mambo yapo sana kila mtu na imani yake.
Ilikuwaje na uliponaje?Nilizikwagwa na sikufa ndio chupu chupu yangu ya kupona maradhi hatari sanaa
Uchawi na nyota ni tofauti bhna
It doesn't make sense kuamini kimoja na kuacha kingine. Ni either you're fully zwazwa unaamini both au unaacha yote. I'm the latter.
Siamini uchawi kwenye kufanikiwa uchawi unatoa uhai wa mtu ili ufanikiwe lakini nyota una angalia nyota yako ipoje ndipo ufanikiwe angalia wa hindi wengi wanatumia nyota
Hapana ila naomba niambie ni kitu gania hasa kinakufanya usiamini katika ikiWahindi are just hardworking and disciplined popote pale duniani.
CEO wa apple, google, pepsi, Microsoft, etc etc are Indians. Drs na engineers wengi US, Canada na UK are Indians as well. Ukisoma Bios zao they are among the smartest and most hardworking people. It has nothing to do with nyota.
Mhindi anaanza biashara toka primary atakuwa sawa na wewe unaeanza biashara baada ya kufeli chuo?
Kwa mawazo yako kila anaefanikiwa anatumia nyota?
Hapana ila naomba niambie ni kitu gania hasa kinakufanya usiamini katika iki
Inawezekana bado ni mchache wa Elimu kuhusu ayo mambo na umeyavamiaIka bora nyota kuliko shiriki shiriki watu wanauwana