Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #81
Ngoja nijitaidi kwasababu yako ase ili next week twende kilimanjaro hotelFata masharti bana hela zikujie nyingi unipe na mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nijitaidi kwasababu yako ase ili next week twende kilimanjaro hotelFata masharti bana hela zikujie nyingi unipe na mimi
Asilimia miaWaganga wanapokonya nyota za watu pasipo watu kujua punde unapoenda kupata msaada,
Dah maarifa tunayo ila haya mambo yapo usijifanye hujui yapoNyota has nothing to do with maisha yako. Huo ni uzwazwa wa kufikirika tu
Nyota ni story za kusadikika kama zilivyo story za ushirikina.
Mtu anaefanya kazi kwa bidii na maarifa atafanikiwa tu hahitaji kujua sijui rangi ya kuvaa au siku ya kufanya jambo ili afanikiwe. Huo ni uzwazwa unaoaminiwa na watu vilaza kiwango cha PhD.
Mtoa mada umekuja na topic nzuri ila sasa ww mwenyewe ni mshirikina ety tumia nyota ivi unajua unachokiongea lakini?Hi,
Watu wengi hapa Tanzania wanapenda uchawi mambo ya kulogana na wanaamini ivyo na wengi washaliwa hela zao nyingi na waganga wa Dar hakuna mganga bali kuna waganga njaa ambao watatoa utabili wa uongo.
Mtu kama anataka kufanikiwa afwate au zingatia sana ushauri wa kinyota kuijua siku yako ya bahati rangi gani inavuta pesa kwako ukivaa au ukipaka nyumba yako kingine pete ya kinyota.
Acheni kuwaamini waganga wa Dar hapa.
Acha uongo ww hio nayo ni shirkiTiba za kinyota aziendani na shiriki
Dah maarifa tunayo ila haya mambo yapo usijifanye hujui yapo
Mtoa mada umekuja na topic nzuri ila sasa ww mwenyewe ni mshirikina ety tumia nyota ivi unajua unachokiongea lakini?
Unaijua Elimu ya Falaq ww?
Yni m nabaki kucheka tu mtu ata baskeli hana ety ana nyota ana miliki nyota huu ni upumbavu na ujinga wa hali ya juu kabisaaa
Mtoa mada acha kuwaingiza watu kwenye ushirikina
Yni watu kma nyie ndo wale nyani haoni kundule
sio kweli, kujaribiwa kupo daily hata umwaminije Yesu kristo coz maandiko yanasema hivoUkishakuwa umemwamini Yesu Kristo na ukazijua njia zake, ukazishika na kuzitenda basi unakuwa mtu huru kabisa na hutaweza kuathiriwa hovyo na uchawi.
Kuamini mambo ya nyota ni kuacha nature ndio ikuamulie mustakabali wa maisha yako, inatakiwa uicontrol nature na sio nature ndio ikukocontrol.Na wewe unaamini kuna rangi inabidi uvae siku fulani ili ufanikiwe?
Unadhani kuna mambo huwezi fanya just because of your zodiac sign?
Nyie ndo mnaoanza kuuliza partner wenu signs zao na kuanza kuwajudge based on that.
Una tofauti gani na mtu anaeambiwa asioge mwaka mzima ili awe tajiri au alale na nduguye kupata mali? Different sides of the same coin.
Kuamini uchawi na/au nyota ni uzwazwa.
Ni kweli tupu ukiwa mfuasi wa Yesu huachi kujaribiwa manake hata Yesu mwenyewe alijaribiwa. Ila ukitumia njia yake utashinda majaribu.sio kweli, kujaribiwa kupo daily hata umwaminije Yesu kristo coz maandiko yanasema hivo
Ika bora nyota kuliko shiriki shiriki watu wanauwanaMtoa mada umekuja na topic nzuri ila sasa ww mwenyewe ni mshirikina ety tumia nyota ivi unajua unachokiongea lakini?
Unaijua Elimu ya Falaq ww?
Yni m nabaki kucheka tu mtu ata baskeli hana ety ana nyota ana miliki nyota huu ni upumbavu na ujinga wa hali ya juu kabisaaa
Mtoa mada acha kuwaingiza watu kwenye ushirikina
Yni watu kma nyie ndo wale nyani haoni kundule
Uchawi na nyota ni tofauti bhnaNa wewe unaamini kuna rangi inabidi uvae siku fulani ili ufanikiwe?