Watu wengi wanataka kufahamu gharama za uchimbaji kisima Cha kisasa

Watu wengi wanataka kufahamu gharama za uchimbaji kisima Cha kisasa

Villanova tito

Senior Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
148
Reaction score
154
Wadau wengi Sana wanakutana na changamoto ya maji katika MAENEO yetu na wengi wanatamani sana kuchimba kisima Cha kisasa ila hawajafahamu gharama na taratibu zake

✅Taratibu ya kwanza ni kufanya survey kitaalam inaitwa geophysical survey yaan mtalaam kuja eneo lako kujua Je maji yanapatikana na yapo MITA NGAPI na kuchukua geology information nyingine zitakazosaidia wakati wa uchimbaji SURVEY gharama yake ni 300000 kwa dar es salaam hii itakusaidia sana kupata kisima Bora chenye uzalishaji mkubwa usichimbe kisima bila kufanya survey unaweza kuzika hela yako

✅Hatua ya pili ni uchimbaji kisima hapa contractor wa kuchimba kisima utampa report inasema achimbe MITA ngapi na atumie method Gani ya uchimbaji kama mud rotation au compressor (air) drilling kulingana na aina ya miambA

✅GHARAMA za uchimbaji kampuni binafsi na SERIKALI hutozwa kwa MITA BAADA ya contractor kupitia survey report atakupa bei ya uchimbaji na bei hitofautiana kulingana na mkoa uliopo kwa mfano mkoa WA Dar es salaam kuchimba MITA 100 ni 8500000 Mwanza ni 1300000 kwa sababu MAENEO mengi pwani formation zake ni mchanga na Mwanza ni hard rock

Karibuni sana wells technology wachimbaji visima vya maji
Mawasiliano 0769509666
Ushaur ni bure


Tunapatikana Dar es salaam

1750687984523.jpg
 
Wadau wengi Sana wanakutana na changamoto ya maji katika MAENEO yetu na wengi wanatamani sana kuchimba kisima Cha kisasa ila hawajafahamu gharama na taratibu zake

[emoji736]Taratibu ya kwanza ni kufanya survey kitaalam inaitwa geophysical survey yaan mtalaam kuja eneo lako kujua Je maji yanapatikana na yapo MITA NGAPI na kuchukua geology information nyingine zitakazosaidia wakati wa uchimbaji SURVEY gharama yake ni 300000 kwa dar es salaam hii itakusaidia sana kupata kisima Bora chenye uzalishaji mkubwa usichimbe kisima bila kufanya survey unaweza kuzika hela yako

[emoji736]Hatua ya pili ni uchimbaji kisima hapa contractor wa kuchimba kisima utampa report inasema achimbe MITA ngapi na atumie method Gani ya uchimbaji kama mud rotation au compressor (air) drilling kulingana na aina ya miambA

[emoji736]GHARAMA za uchimbaji kampuni binafsi na SERIKALI hutozwa kwa MITA BAADA ya contractor kupitia survey report atakupa bei ya uchimbaji na bei hitofautiana kulingana na mkoa uliopo kwa mfano mkoa WA Dar es salaam kuchimba MITA 100 ni 8500000 Mwanza ni 1300000 kwa sababu MAENEO mengi pwani formation zake ni mchanga na Mwanza ni hard rock

Karibuni sana wells technology wachimbaji visima vya maji
Mawasiliano 0769509666
Ushaur ni bure


Tunapatikana Dar es salaam

View attachment 3380266
Kwa mkoa kama Kigoma gharama inakuwa tsh.ngapi kwa mita kwa drilling and casing? Eneo halina mawe ni mchanga tu. Survey ilishafanyika, maji yapo mita 100 to 120 according to survey.
 
Hivi mkataba unasemaje iwapo mtaalamu ukafanya survey ukasema maji yapo mita 80 tukapiga mita 120 hafu dry?
Inategemea na terms mlizoziweka kwenye huo mkataba wenu Mkuu. Mfano mnaweza kuweka clause yenye term inasema

1.0 Mfanya tafiti atafanya tafiti ya kitaaluma na kumpatia Mteja ripoti kamili juu ya majibu ya utafiti uliofanyika. Ripoti ambayo ndiyo itakayowasilishwa na Mteja kwa Mchimbaji/Kampuni ya uchimbaji kwa ajili ya kukamilisha zoezi la uchimbwaji wa kisima. Ripoti itakayosomeka kama sehemu ya makubaliano haya.

Sasa baada ya kuwa na clause ya hivyo, itaweza kukusaidia baadae kudai fidia kwa kutokufikia matokeo au kwa udanganyifu wa ripoti.

Kwavile matokeo yanakuja baadae ni ngumu kuweka umbali wa mita kwa awali sasa hiyo ripoti inapaswa kuja kusomeka pamoja na mkataba ili iwe sehemu ya mkataba wenu. Pia bado itabidi utumie mchimbaji aliyethibitishwa ili kusiwe na utetezi wa kutumika mchimbaji asiyetambulika.

Hakuna majibu ya moja kwa moja kwa swali lako sababu inategemea sana makubaliano mliyoingia, ila kwa ujumla naona hivyo.

Kwa ushauri zaidi, uwasiliane na wakili wako ili akuongoze kulingana na makubaliano yaliyopo kwenye mkataba mlioingia
 
Back
Top Bottom