S stan sn Member Joined Nov 15, 2014 Posts 19 Reaction score 13 Jul 9, 2026 #21 Ponjoro wa Kinondoni said: Morogoro tunachimbiwa kwa milioni 1 pamoja na pampu. Click to expand... Nipo Moro nahitaji hii.wanaweza kufika mita ngap maximum?
Ponjoro wa Kinondoni said: Morogoro tunachimbiwa kwa milioni 1 pamoja na pampu. Click to expand... Nipo Moro nahitaji hii.wanaweza kufika mita ngap maximum?
S stan sn Member Joined Nov 15, 2014 Posts 19 Reaction score 13 Jul 9, 2026 #22 Ponjoro wa Kinondoni said: Wanatumia mashine fulani hivi. Click to expand... Niunganishe nao hao
zipompa JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 12,508 Reaction score 27,663 Jul 9, 2026 #23 kwa sasa ni muhimu sana kuwa na kisima
Mponda 02 JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 534 Reaction score 508 Jul 11, 2026 #24 stan sn said: Niunganishe nao hao Click to expand... Hivyo vya kuchimba kienyeji vinaisha maji, huwezi kujaza tanki, na vinakauka wakati wa kiangazi. Borehole ndiyo kisima chs uhakika
stan sn said: Niunganishe nao hao Click to expand... Hivyo vya kuchimba kienyeji vinaisha maji, huwezi kujaza tanki, na vinakauka wakati wa kiangazi. Borehole ndiyo kisima chs uhakika
Mnachihanguuu JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 6,406 Reaction score 9,830 Jul 11, 2026 #25 Mponda 02 said: Hivyo vya kuchimba kienyeji vinaisha maji, huwezi kujaza tanki, na vinakauka wakati wa kiangazi. Borehole ndiyo kisima chs uhakika Click to expand... Hicho ndio kisima kipoje cha borehole?
Mponda 02 said: Hivyo vya kuchimba kienyeji vinaisha maji, huwezi kujaza tanki, na vinakauka wakati wa kiangazi. Borehole ndiyo kisima chs uhakika Click to expand... Hicho ndio kisima kipoje cha borehole?