Watu wenye Akili nyingi na matajiri hujadili IDEAS mfano Trump ameshambuliwa hajarusha dongo kwa yeyote, wenye akili ndogo kama Lissu hujadili watu

Dhambi ya kuua na kuteka itaendelea kuwatesa kwa miaka mingi sana.
 
Huku wenye silaha kubwa ni majeshi!!

Kule USA Kila mtu ana silaha kubwa!! Kule USA mtu yeyote anaweza kuhusishwa.
 
Kwa kitendo chako cha kujadili watu umejitoa miongoni mwa Wenye akili?
 
You are uninformed, Trump ana Hekima? Unamjua Trump kweli wewe?

Tatizo JF kuna watu hata news hawafuatilii .... wanasoma heading tu za magazeti ya Udaku halafu wanaingia majukwaani kuleta mijadala na kujifanya wanajenga hoja. Mlema thread ni typical one of them....!!
 
Una akili kweli wewe? wakati uaandika ulishirikisha ubongo wako au umeandika tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…