Watu wenye hasira zaidi duniani

Watu wenye hasira zaidi duniani

9. watu waliotumbuliwa, hasa hasa na wenza wao!
 
(Hapo kwenye busha)...Kwa hiyo yule mstaafu wetu, kipenzi cha wengi aka prof ana hasira? mbona huwa anasmile muda wote hata kwenye misiba?
 
(Hapo kwenye busha)...Kwa hiyo yule mstaafu wetu, kipenzi cha wengi aka prof ana hasira? mbona huwa anasmile muda wote hata kwenye misiba?
Tabasamu la kinafiki hakuna mtu mwenye vinyongo kama yule angalia watu walioenda naye kinyume wakati wa utawala wake nini kiliwapata
 
Ila jamani watu wafupi ni shida hasa wanaume ni kweli huwa na Hasira, watu wafupi huwa na sifa na hali ya kujionyesha, Nadhani ile hali ya ufupi huwa fanya kukkosa ujasiri na kutanguliza hasira au kiherehere waonekane kama na wao wapo, Hasira na sifa ni kama silaha kwao katika kujiwakilisha kuwa wapo lol.
Kuna kaukweli flan hivi...Nina rafiki yangu ni PIMBI........Ni sheedah daily full visa + mihasira
 
Back
Top Bottom