Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kasema hana hasira? Yawezekana yeye ni living example..(just kidding)We mpare sio mfupi kweli???
(Hapo kwenye busha)...Kwa hiyo yule mstaafu wetu, kipenzi cha wengi aka prof ana hasira? mbona huwa anasmile muda wote hata kwenye misiba?
Tabasamu la kinafiki hakuna mtu mwenye vinyongo kama yule angalia watu walioenda naye kinyume wakati wa utawala wake nini kiliwapata(Hapo kwenye busha)...Kwa hiyo yule mstaafu wetu, kipenzi cha wengi aka prof ana hasira? mbona huwa anasmile muda wote hata kwenye misiba?
Kuna kaukweli flan hivi...Nina rafiki yangu ni PIMBI........Ni sheedah daily full visa + mihasiraIla jamani watu wafupi ni shida hasa wanaume ni kweli huwa na Hasira, watu wafupi huwa na sifa na hali ya kujionyesha, Nadhani ile hali ya ufupi huwa fanya kukkosa ujasiri na kutanguliza hasira au kiherehere waonekane kama na wao wapo, Hasira na sifa ni kama silaha kwao katika kujiwakilisha kuwa wapo lol.
We!! Isiwe unachanya hiyo kitu na T.dume!! napita tu mimi.(Hapo kwenye busha)...Kwa hiyo yule mstaafu wetu, kipenzi cha wengi aka prof ana hasira? mbona huwa anasmile muda wote hata kwenye misiba?
Makengeza....!Macho kumchuzi ndo mini mkuu
OK mkuuMakengeza....!