Hata mimi sipo? Mkuu nipe heshima yangu basi!Katika miaka 3 niliyojiunga humu JamiiForums nimekutana ID mbalimbali zenye majina mabaya na nyingine hata kuzisoma na kutamka ni kazi.Kama zifuatazo : NYANI MZEE ,jichawi ,@bujibuji,@mzabmzab ,@chinchlla coat ,nyakandula ,Erythrocyte ,Wervemarcel ,@jacspyro,GENTAMYCINE ,makalio ya kienyeji ,Mzizi wa Mbuyu,MziziMkavu ,Nyani Ngabu,@zeduduz ,@mpigamsuli,@mavimavi ,@ndyoko,kyamafi, @ulukulokwitanga,@kifilio ,Naibili nk wadau mnaweza na nyie mkaongeza kwa kuweka ID mlizokutana nazo humu
Lizabon
Eeka mam bo roNantombe mushi
wewe utakuwa una ugomvi na ukawa mpaka umuandame Jane LowassaJane Lowassa