Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Mkuu vipi ID nzuri sana hiyo,siunajua mkataa kwao mtumwa.Uende hata ughaibuni lkn mwisho wa siku nyumbani ni nyumbani.
Kumbe hizi ID zinatambulisha hulka ya muhusika!she male
Kuna ID Inaitwa KIFILIO inafaa ukutane nayoAcha kuropoka wewe. ID mbaya kabisa ni Daudi Mchambuzi, BAK, Mwanahabari Huru, Salary Slip na wengine. Yaani hao na kundi lao ni wafia chama kilichokufa cha chandomo na ni mavuvuzela ya hilo li chama lililokufa
Akienda huko atakutana na mtu anajiita KifilioHapana,wewe inabidi uende mahabusu kwanza ndio nikufikirie.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna ID Inaitwa KIFILIO inafaa ukutane nayo
Wewe kiumbe Eddy Love Mudawote anaingiaje tena hapo? Ila anayeboa kabisa na michango ya ovyo jf ni huyu kijana mnafiki anaitwa Mwanahabari Huru akifuatiwa na Ben SaananeUlishatajwa Mudawote
Huyo mrundi ni mbishi sana.MOTOCHIN
WEWE MTOTO UNA MAKUU UBAYA WAO UKOJE?Wewe kiumbe Eddy Love Mudawote anaingiaje tena hapo? Ila anayeboa kabisa na michango ya ovyo jf ni huyu kijana mnafiki anaitwa Mwanahabari Huru akifuatiwa na Ben Saanane