Watu wenye ID mbaya humu JamiiForums

Watu wenye ID mbaya humu JamiiForums

Mleta Uzi anatubagua... Atakuwa anapenda najina ya kizungu... So me Nikiitwa The scremer bug ndio angeona nzuri

Kuna wazungu wana majina mabaya ukiyatafsiri kwa kiswahili
 
Hahahaaa kuna mdudu washa unaitwa lizabon Huyu jamaa jf ingekuwa shule jna afu nipewe umonita jina lake ningekuwa nalianzia hata kabla ya heading na haijalishi kama yupo au hayupo[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23]
 
Mleta Uzi anatubagua... Atakuwa anapenda najina ya kizungu... So me Nikiitwa The scremer bug ndio angeona nzuri

Kuna wazungu wana majina mabaya ukiyatafsiri kwa kiswahili
Hivi kwa mfano mtu anitwa DickSon ukiitafsiri kwa kiswahili ni MwanaMboo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Umejuaje mi bwana mdogo?

Umejuaje nimekurupuka?

Unaelewa hata nilichokuambia ni nini?
Kiranga lkn na wewe hii ID yako huwa inanichekesha sana.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hivi huwa una maana ya Kiranga-komo?
 
Jana niliona mende msafi nikabaki natabasamu tu dah! hivi kuna mende msafi kweli!? kwi kwi kwi kwi lol!
 
Back
Top Bottom