Watu wenye ID mbaya humu JamiiForums

Watu wenye ID mbaya humu JamiiForums

Ha ha ha! MOTOCHINI umenikumbusha mke wangu alipokuwa mjamzito alikuwa anasema akisikia jina langu linatajwa anasikia kichefuchefu lakini akiwa nyumbani anaona raha eti kuvaa mashati yangu tena yale ambayo hayajafuliwa.
Wewe mtu huwa mchokozi du!!
 
Kuna mtu anaitwa "maharage ya kweli"

[emoji23][emoji23][emoji23]

Watu sijui wanawaza nini wakiwa wanafungua account. Au wanapick chochote wanachokiona karibu au chochote kinachoingia akili.

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]
 
Lol! Huyu kunguni wa ulaya sijawahi kumtia machoni aisee! Watu wako very creative kwenye IDs zao lol!
Kuna ubunifu humu wengine wanapitiliza mpaka inakera sio haya tuliyo yataja yapo mengine mpaka unajiuliza kulikoni?
 
Katika miaka 3 niliyojiunga humu JamiiForums nimekutana ID mbalimbali zenye majina mabaya na nyingine hata kuzisoma na kutamka ni kazi.Kama zifuatazo : NYANI MZEE ,jichawi , Bujibuji ,@mzabmzab , @chinchlla coat , nyakandula ,Erythrocyte ,Wervemarcel ,@jacspyro,GENTAMYCINE ,makalio ya kienyeji ,Mzizi wa Mbuyu,MziziMkavu ,Nyani Ngabu,@zeduduz ,@mpigamsuli,@mavimavi ,@ndyoko,kyamafi, @ulukulokwitanga,@kifilio ,Naibili , kabanga , @Kashara , Jaslaws , kitambiflat , omujubi , Tanya , gambakuffu , kwetumasoko , nanya , nitonye , nyakandula , kwenzi , MSAGA SUMU , kadololo , jangala , shonkoso , Ipycalypse nk wadau mnaweza na nyie mkaongeza kwa kuweka ID mlizokutana nazo humu
Mkuu hata mimi umenisahau daaa kwel jina lang limekosekana..? Haya bana .
.
.
.
Kyenekyaka mkighanile une
 
Back
Top Bottom