Watu wenye ID mbaya humu JamiiForums

Watu wenye ID mbaya humu JamiiForums

Umekuja mende msafi lol! yuko ndugu yako humu lakini yeye ni mende wa chooni eeeewwwwwwww! Kuna IDs humu huwa nacheka sana lol!
Kaka Jambazi tops them all..Yaani jina la mtenda uhalifu lakini inabidi umpe heshima yake kwa kutanguliza kaka.😀😀
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kapwila Matulu

Big booty lover

Mti wa ajabu
 
Back
Top Bottom