Bigbootylover
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 2,847
- 1,828
Nilitaka kuandamana, nisiwemo!Kapwila Matulu
Big booty lover
Mti wa ajabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilitaka kuandamana, nisiwemo!Kapwila Matulu
Big booty lover
Mti wa ajabu
Wakuuu nyie bifu lenu limeanzia jukwaaa la fulan [emoji12] [emoji12] [emoji12]Stay off my dilsnick.
Mimi sili bifu, sina tifu, nimekifuWakuuu nyie bifu lenu limeanzia jukwaaa la fulan [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Tungo yako jamaliMimi sili bifu, sina tifu, nimekifu
Naleta upembuzi yakinifu wa kusifu
Sili nyama, Dalai Lama wa kuparama
Kiongozi zama, Sir, kama Seretse Khama
Juzuu ka maulana kwa wazungusha kwama
Naongoa wenye ngoa, kwa elimu iso doa
Wanaojipodoa kutafuta ndoa wahuni watadonoa
Silabi nomino, tungo ndo nimo
Guluguja mbilikimo nawa flush ka Nemo
Nawapa shairi ka shayiri iso sahiri
Kwa umahiri akili wa tata ilo dhahiri
Tahamaki tahanani, wa kulizuia nani?
Tafrani kwenye fani mpaka waseme mi mpagani..
sema sina namba ya Kiranga ningemuomba arudi tena ajibu shairi lakoT
Tungo yako jamali
Umeonyesha wako ujabali
Lugha ulotumia ni ghali
Kukusifu sina hali
Umeitendea haki kweli
Kina kirefu ndani ya bahari
Asiingie mtu nanga ni khatari
Si cha mtumbwi ni manowari
Chombo chasukwasukwa si Shwari
Wajuvi wamaizi ni shari?
Mkuu langu halipo kwel khaaaKatika miaka 3 niliyojiunga humu JamiiForums nimekutana ID mbalimbali zenye majina mabaya na nyingine hata kuzisoma na kutamka ni kazi.Kama zifuatazo : NYANI MZEE ,jichawi , Bujibuji ,@mzabmzab , @chinchlla coat , nyakandula ,Erythrocyte ,Wervemarcel ,@jacspyro,GENTAMYCINE ,makalio ya kienyeji ,Mzizi wa Mbuyu,MziziMkavu ,Nyani Ngabu,@zeduduz ,@mpigamsuli,@mavimavi ,@ndyoko,kyamafi, @ulukulokwitanga,@kifilio ,Naibili , kabanga , @Kashara , Jaslaws , kitambiflat , omujubi , Tanya , gambakuffu , kwetumasoko , nanya , nitonye , nyakandula , kwenzi , MSAGA SUMU , kadololo , jangala , shonkoso , Ipycalypse nk wadau mnaweza na nyie mkaongeza kwa kuweka ID mlizokutana nazo humu
Ali like tukaishia hapo.sema sina namba ya Kiranga ningemuomba arudi tena ajibu shairi lako
Mbuta[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nantombe mushi
Yesu wangu[emoji134] [emoji134] [emoji134]Uyu Lizabon katoka kwenye ukoo wa shetani.