Watu wenye ID mbaya humu JamiiForums

Watu wenye ID mbaya humu JamiiForums

Wakuuu nyie bifu lenu limeanzia jukwaaa la fulan [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mimi sili bifu, sina tifu, nimekifu
Naleta upembuzi yakinifu wa kusifu
Sili nyama, Dalai Lama wa kuparama
Kiongozi zama, Sir, kama Seretse Khama
Juzuu ka maulana kwa wazungusha kwama
Naongoa wenye ngoa, kwa elimu iso doa
Wanaojipodoa kutafuta ndoa wahuni watadonoa
Silabi nomino, tungo ndo nimo
Guluguja mbilikimo nawa flush ka Nemo
Nawapa shairi ka shayiri iso sahiri
Kwa umahiri akili wa tata ilo dhahiri
Tahamaki tahanani, wa kulizuia nani?
Tafrani kwenye fani mpaka waseme mi mpagani..
 
T
Mimi sili bifu, sina tifu, nimekifu
Naleta upembuzi yakinifu wa kusifu
Sili nyama, Dalai Lama wa kuparama
Kiongozi zama, Sir, kama Seretse Khama
Juzuu ka maulana kwa wazungusha kwama
Naongoa wenye ngoa, kwa elimu iso doa
Wanaojipodoa kutafuta ndoa wahuni watadonoa
Silabi nomino, tungo ndo nimo
Guluguja mbilikimo nawa flush ka Nemo
Nawapa shairi ka shayiri iso sahiri
Kwa umahiri akili wa tata ilo dhahiri
Tahamaki tahanani, wa kulizuia nani?
Tafrani kwenye fani mpaka waseme mi mpagani..
Tungo yako jamali
Umeonyesha wako ujabali
Lugha ulotumia ni ghali
Kukusifu sina hali
Umeitendea haki kweli
Kina kirefu ndani ya bahari
Asiingie mtu nanga ni khatari
Si cha mtumbwi ni manowari
Chombo chasukwasukwa si Shwari
Wajuvi wamaizi ni shari?
 
T

Tungo yako jamali
Umeonyesha wako ujabali
Lugha ulotumia ni ghali
Kukusifu sina hali
Umeitendea haki kweli
Kina kirefu ndani ya bahari
Asiingie mtu nanga ni khatari
Si cha mtumbwi ni manowari
Chombo chasukwasukwa si Shwari
Wajuvi wamaizi ni shari?
sema sina namba ya Kiranga ningemuomba arudi tena ajibu shairi lako
 
Katika miaka 3 niliyojiunga humu JamiiForums nimekutana ID mbalimbali zenye majina mabaya na nyingine hata kuzisoma na kutamka ni kazi.Kama zifuatazo : NYANI MZEE ,jichawi , Bujibuji ,@mzabmzab , @chinchlla coat , nyakandula ,Erythrocyte ,Wervemarcel ,@jacspyro,GENTAMYCINE ,makalio ya kienyeji ,Mzizi wa Mbuyu,MziziMkavu ,Nyani Ngabu,@zeduduz ,@mpigamsuli,@mavimavi ,@ndyoko,kyamafi, @ulukulokwitanga,@kifilio ,Naibili , kabanga , @Kashara , Jaslaws , kitambiflat , omujubi , Tanya , gambakuffu , kwetumasoko , nanya , nitonye , nyakandula , kwenzi , MSAGA SUMU , kadololo , jangala , shonkoso , Ipycalypse nk wadau mnaweza na nyie mkaongeza kwa kuweka ID mlizokutana nazo humu
Mkuu langu halipo kwel khaaa
.
.
.
Kyenekyaka mkighanile une
 
Back
Top Bottom