Watu wenye ID mbaya humu JamiiForums

Mbona yule rafiki yako mpinzani yule kwenye ubishi kule hujamtaja au una muogopa[emoji1] [emoji1] maana yake nimeirudia thread mara 2 mbili sijaliona
 
Kuna huyu mwenye id flani hivi ananiumiza kichwa mno... yaani nakuwa kama na fanya mahesabu kwa lugha ya kichina

naamini akiiona hii comment atanielewa..
 

Hapo Werve marcel Vipi????

Cc Eddy love.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…