Watu wenye miguu flat ..wana shida gani?

nafikiri sio swala la hapa Tanzania tuu hiyo ni kutoka wikipedia. Ni swala ambalo linaendelea kufanyiwa tafiti zaidi.
 
Hata Mimi nimeambiwa hili jambo..nikauliza kwa nini,lakini muhusika hakunijibu.
 
Sio jibu la kitaalamu ila uzoefu wangu mdogo unaonesha ni ishu ya balansi. Sio jeshini tu, hata kwenye 'athletics', yaani michezo inayohusisha kukimbia-kimbia, watu wenye miguu bapa inawapa shida.

Jieleimishe; Flat feet - Wikipedia
 
Kuna hadi imani za kiswahili
umewahi zisikia pia?
 
Kuna hadi imani za kiswahili
umewahi zisikia pia?
Mimi mtamaduni. Imani za Kiswahili zinamaanisha imani za Watu wa Pwani ya Afrika Mashariki na Visiwa vyake i.e Waswahili.
Ndivyo ulivyoka-maanisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…