Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikiaga watu ambao nyayo zao hazina uvungu huwa wana roho mbaya na ni wachoyo... Naombeni mnisaidie na hili...
View attachment 548156 nafikiri sio swala la hapa Tanzania tuu hiyo ni kutoka wikipedia. Ni swala ambalo linaendelea kufanyiwa tafiti zaidi.
Inaonekana kumbe liko deep
Mkuu mie nimevurugwa ila wewe ni rais wetu tuliovurugwa....ahahaha.Huo unyao atakua nao mwenye nchi
Sio jibu la kitaalamu ila uzoefu wangu mdogo unaonesha ni ishu ya balansi. Sio jeshini tu, hata kwenye 'athletics', yaani michezo inayohusisha kukimbia-kimbia, watu wenye miguu bapa inawapa shida.Nilikua nasikia sikia tu kuwa watu wenye miguu flat chini
yaani nyao zao hazina uvungu katikati huwa hawaruhusiwi kujiunga na jeshi
sababu hawataweza mikikimikiki ya jeshi hasa kukimbia mchakamchaka
Juzi kati nimethibitishiwa na watu wa jeshini kuwa ni kweli kabla ya kujiunga
jeshini lazima ukaguliwe miguu na ukikutwa ni flat feet hawakuchukui
Niko very very curious na hili.....
je hii ni scientific theory?
nchi zote inatumika hii au kwetu tu??
Na mtu kuwa na miguu flat maana yake ana afya dhaifu?
kuna yeyote anaeweza kunipa maelezo zaidi?
Sio jibu la kitaalamu ila uzoefu wangu mdogo unaonesha ni ishu ya balansi. Sio jeshini tu, hata kwenye 'athletics', yaani michezo inayohusisha kukimbia-kimbia, watu wenye miguu bapa inawapa shida.
Jieleimishe; Flat feet - Wikipedia
Mimi mtamaduni. Imani za Kiswahili zinamaanisha imani za Watu wa Pwani ya Afrika Mashariki na Visiwa vyake i.e Waswahili.Kuna hadi imani za kiswahili
umewahi zisikia pia?