Mimi mtamaduni. Imani za Kiswahili zinamaanisha imani za Watu wa Pwani ya Afrika Mashariki na Visiwa vyake i.e Waswahili.
Ndivyo ulivyoka-maanisha?
Imethibitishwa hiyo mkuu nimedokezwa na major mmoja hiviImethibitishwa kisayansi? au imani tu?
Nadhani ni urban legend tu.
Wana uwezo mdogo wa kutembea umbali mrefu kwa haraka na wepesiNinadhani wavaaji wa Nike marathon trainers wanaweza kutueleza vizuri
Mbona haichekeshii mkuuMkuu mie nimevurugwa ila wewe ni rais wetu tuliovurugwa....ahahaha.
nimecheka mpaka jirani ananiuliza nacheka nini....nimemsomesha post yako yeye ndio kacheka mpaka kapaliwa mate yuko bize anakohoa kusafisha njia ya hewa.
daah...wewe ni soooo.
Sent using Jamii Forums mobile app
JWTZ hawapokei watu wenye flat feet
mimi nimeuliza jeshini...hiyo ni fact
Ninachouliza hapa ni je hizo sababu zao ni universal?au TZ only?
na kama hilo la afya ni scientific proved world wide au ni sisi tu..tunaamini hivyo
Speed na wepesiNlivyosikiaga ni kuua hawaezi kutembea umbali mrefu, wanaachoka mapema kulngana na nyayo zao zlivyo.
Wao wanasema watu wenye flat feet hawawezi kutembea au kkukimbia umbali mrefu
kumbe hata hapa JF kuna thread mtu alishawahi kuleta zamani...
Mimi nadhani ni moja ya zile dhana potofu tu.
Sijaona ushahidi wowote ule popote pale unaothibitisha hayo.
Sasa kwa mfano ina maana hakuna wakimbia mbio za masafa marefu [marathon, mita 5,000, 10,000 na kadhalika] walio na nyayo za hivyo?
Sioni tofauti ya hiyo dhana na ile ya kwamba mwanaume anayevaa kiatu cha saizi kubwa au mwenye mikono mikubwa mikubwa basi pia na uume wake ni mkubwa.
hizi imani za kiswahili wahenga watakuwa wamehusika kwa asilimia kubwaKuna hadi imani za kiswahili
umewahi zisikia pia?
mmh! na wewe mkaksi kweli, yani mwenzako amecheka hadi kupaliwa wewe unamkatisha cheko lakeMbona haichekeshii mkuu
Mimi pia niliona ni dhana potofu
nikafikiri labda zamani ndo ilikuwa hivyo
sasa kuuliza juzi kuwa bado JWTZ wana apply hiyo ndo nazidi kushangaa
ndo maana nauliza watu humu kama kuna scientific theory yeyote?
Huku kwenye ulimwengu wa tatu ni vigumu sana kuondokana na hizi dhana potofu.
Na tatizo kuu ni ujinga. Na ujinga wetu hauna tabaka. Hata wale waloelimika kwa hii elimu rasmi ya darasani nao wanasumbuliwa na ujinga.
Imagine majuzi tu hapa watu na elimu zao walikuwa wanaamini kuwa Donald Trump kawasema vibaya Waafrika na watu weusi ilhali wala haikuwa vigumu kuutafuta ukweli....sasa sembuse kuhusu hizi dhana potofu zilizoota mizizi mirefu?
Mimi sishangai kabisa.
Kwanza kwa mtazamo wangu naamini jeshi letu kama taasisi linaongoza kuwa na watu walio wajinga [ignorant].
Na hata yale wanayosema Mugabe kasema..
kuna watu tele wanaamini Mugabe kweli anaongea yale