Watu wenye miguu flat ..wana shida gani?

Mimi mtamaduni. Imani za Kiswahili zinamaanisha imani za Watu wa Pwani ya Afrika Mashariki na Visiwa vyake i.e Waswahili.
Ndivyo ulivyoka-maanisha?

Inaweza kuwa pwani au la
ninamaanisha umewahi sikia imani juu ya flat feet kwa kabila lolote
au watu wa pande zozote zile Tz?
 
Nadhani ni urban legend tu.

JWTZ hawapokei watu wenye flat feet
mimi nimeuliza jeshini...hiyo ni fact

Ninachouliza hapa ni je hizo sababu zao ni universal?au TZ only?
na kama hilo la afya ni scientific proved world wide au ni sisi tu..tunaamini hivyo
 
Sababu yao ni ipi?
 
Wao wanasema watu wenye flat feet hawawezi kutembea au kkukimbia umbali mrefu

kumbe hata hapa JF kuna thread mtu alishawahi kuleta zamani...

Mimi nadhani ni moja ya zile dhana potofu tu.

Sijaona ushahidi wowote ule popote pale unaothibitisha hayo.

Sasa kwa mfano ina maana hakuna wakimbia mbio za masafa marefu [marathon, mita 5,000, 10,000 na kadhalika] walio na nyayo za hivyo?

Sioni tofauti ya hiyo dhana na ile ya kwamba mwanaume anayevaa kiatu cha saizi kubwa au mwenye mikono mikubwa mikubwa basi pia na uume wake ni mkubwa.
 
Mimi pia niliona ni dhana potofu
nikafikiri labda zamani ndo ilikuwa hivyo
sasa kuuliza juzi kuwa bado JWTZ wana apply hiyo ndo nazidi kushangaa
ndo maana nauliza watu humu kama kuna scientific theory yeyote?
 
Huku kwenye ulimwengu wa tatu ni vigumu sana kuondokana na hizi dhana potofu.

Na tatizo kuu ni ujinga. Na ujinga wetu hauna tabaka. Hata wale waloelimika kwa hii elimu rasmi ya darasani nao wanasumbuliwa na ujinga.

Imagine majuzi tu hapa watu na elimu zao walikuwa wanaamini kuwa Donald Trump kawasema vibaya Waafrika na watu weusi ilhali wala haikuwa vigumu kuutafuta ukweli....sasa sembuse kuhusu hizi dhana potofu zilizoota mizizi mirefu?

Mimi sishangai kabisa.

Kwanza kwa mtazamo wangu naamini jeshi letu kama taasisi linaongoza kuwa na watu walio wajinga [ignorant].
 
Na hata yale wanayosema Mugabe kasema..
kuna watu tele wanaamini Mugabe kweli anaongea yale
 
Eeewaaa....

Kuhusu jeshi letu....pale maeneo ya Lugalo nishashuhudia mara nyingi wanajeshi wakiwatesa/wakiwaadhibu raia kwa kosa la kuvuka barabara na kukanyaga yake majani yaliyopandwa kwenye ile median inayotenganisha zile lanes.

Huwa nashindwa kabisa kuelewa. Hata kama watu wana makosa ndo wateswe vile na wanajeshi?

Mara kibao tu nimeshaona magari ya jeshi yakivunja sheria za barabarani kisa tu ni magari ya jeshi yalobeba wanajeshi.

Wanajeshi nchi hii wanaogopwa. Ukienda Marekani au Uingereza utaona jinsi wanajeshi wake wanavyopendwa na kuthaminiwa na raia wao.

Wanajeshi wetu kujiona wako juu ya sheria na kupenda kuogopwa ni ushahidi tosha wa ujinga wao.
 
Back
Top Bottom