Watu wenye miguu flat ..wana shida gani?

Watu wengi hawana flat sole.
Kama mtu Ana flat sole hakubaliwi jeshini kwasababu theory Ni kuwa wanapata shida kukimbia.

Mtu kwenye Sole ya kawaida anaweza kutembea vizuri na muni know kwasababu pronation(yani movement ya mguu kuelekea ndani) na suppination( movement ya mguu kuelekea nje na mbele) ziko neutral,yani haijazidi wala kupungua.Kwaiyo ana balance nzuri.

Mtu mwenye flat sole Ana over pronate..mguu Una rotate zaidi kuelekea ndani na inachukua mda kwa mguu Ku suppinate yani kuelekea nje na pia kusukuma mguu mbele.
Kwa hiyo anashidwa kujibalance.Akishindwa kujibalance inamaana anashindwa kuhimili shock sanasana wakati wakukimbia.hivyo hana stability.
Na kama hana stability atapata majeraha na jeshi siyo sehemu yake since kuna mazoezi mazito.

Pia kama unapendelea kuvaa flat shoes Kama simples sanasana kwa wanawake,unaweza ukapata athari Kama za wenye flat feet.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa flat unaweza chanika kirahisi kwani nyama iliyojaa katika hilo eneo linaweza kukusababishia hayo matatizo kwani ngozi inakuwa na uwezo wa kujikunja sana na ikibidi unaweza pata maumivu pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 

FROM WIKIPEDIA

Most flexible flat feet are asymptomatic, and do not cause pain. In these cases, there is usually no cause for concern. Flat feet were formerly a physical-health reason for service-rejection in many militaries. However, three military studies on asymptomatic adults (see section below), suggest that persons with asymptomatic flat feet are at least as tolerant of foot stress as the population with various grades of arch. Asymptomatic flat feet are no longer a service disqualification in the U.S. military

Military studies
Studies analyzing the correlation between flat feet and physical injury in soldiers have been inconclusive, but none suggests that flat feet are an impediment, at least in soldiers who reached the age of military recruitment without prior foot problems. Instead, in this population, there is a suggestion of more injury in high arched feet. A 2005 study of Royal Australian Air Force recruits that tracked the recruits over the course of their basic training found that neither flat feet nor high arched feet had any impact on physical functioning, injury rates or foot health. If anything, there was a tendency for those with flat feet to have fewer injuries.[17] Another study of 295 Israel Defense Forces recruits found that those with high arches suffered almost four times as many stress fractures as those with the lowest arches.[18] A later study of 449 U.S. Navy special warfare trainees found no significant difference in the incidence of stress fractures among sailors and Marines with different arch heights.[19]
 
Ukiwa flat unaweza chanika kirahisi kwani nyama iliyojaa katika hilo eneo linaweza kukusababishia hayo matatizo kwani ngozi inakuwa na uwezo wa kujikunja sana na ikibidi unaweza pata maumivu pia

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja niongezee nyama ni kwamba ukiwa ndani ya mafunzo kuna baadhi ya mazoezi unatakiwa kuyafanya ukiwa umelowana au kwenye maji na unaweza usipate hata nafasi ya kuivua hiyo buti hata Siku mbili hata tatu au nne sasa vuta picha huo mguu flat ukae ndani ya soksi pamoja na buti iliyolowana kwa muda wa siku hizo..

magnus
 
JWTZ hawapokei watu wenye flat feet
mimi nimeuliza jeshini...hiyo ni fact

Ninachouliza hapa ni je hizo sababu zao ni universal?au TZ only?
na kama hilo la afya ni scientific proved world wide au ni sisi tu..tunaamini hivyo
Mkuu, kusema moja kwa moja kuwa ni universal inaweza ikawa na ukakasi, lakini inatosha kusema kuwa majeshi mengi kama sio yote hayachukui watu wa namna hii, japo kuna sehemu wanaweza kufanya kazi sehemu nyingine! Hebu pitia hapa uone namna gani watu mbalimbali wanavyoliongelea suala hili suala!
https://www.quora.com/Why-are-peopl...allowed-to-join-the-army-Or-is-it-just-a-myth

Lakini mbaya zaidi, jeshi la marekani lilifikia hatua ya kutaka kumshitaki mtu mmoja ambaye ilibainika kuwa aliingia jeshini kimakosa huku akiwa na tatizo hilo na kushindwa mazoezi! Pitia hapa.
I am a Military Recruiter and would like to clear up some misconceptions., page 15
 

Kumbe hadi US Army hawapokei watu hawa wenye flat feet..
cc Nyani Ngabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…