Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,865
- 4,506
Mkuu ulisikia wapi hii?
inaonekana kuna imani nyingi mno kuhusu hili
Nasikia miguu yao inafanya buti za jeshi zitoboke mapema ndani ya mwezi tu buti lina matundu kibao kwenye soli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ulisikia wapi hii?
inaonekana kuna imani nyingi mno kuhusu hili
Daaah!
Ndo maana nina majanga, wife ana flat feet
Nilikua nasikia sikia tu kuwa watu wenye miguu flat chini
yaani nyao zao hazina uvungu katikati huwa hawaruhusiwi kujiunga na jeshi
sababu hawataweza mikikimikiki ya jeshi hasa kukimbia mchakamchaka
Juzi kati nimethibitishiwa na watu wa jeshini kuwa ni kweli kabla ya kujiunga
jeshini lazima ukaguliwe miguu na ukikutwa ni flat feet hawakuchukui
Niko very very curious na hili.....
je hii ni scientific theory?
nchi zote inatumika hii au kwetu tu??
Na mtu kuwa na miguu flat maana yake ana afya dhaifu?
kuna yeyote anaeweza kunipa maelezo zaidi?
Ngoja niongezee nyama ni kwamba ukiwa ndani ya mafunzo kuna baadhi ya mazoezi unatakiwa kuyafanya ukiwa umelowana au kwenye maji na unaweza usipate hata nafasi ya kuivua hiyo buti hata Siku mbili hata tatu au nne sasa vuta picha huo mguu flat ukae ndani ya soksi pamoja na buti iliyolowana kwa muda wa siku hizo..Ukiwa flat unaweza chanika kirahisi kwani nyama iliyojaa katika hilo eneo linaweza kukusababishia hayo matatizo kwani ngozi inakuwa na uwezo wa kujikunja sana na ikibidi unaweza pata maumivu pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni factNasikiaga watu ambao nyayo zao hazina uvungu huwa wana roho mbaya na ni wachoyo... Naombeni mnisaidie na hili...
Kwa hiyo nimpige chini shemeji ako eti, Mkuu!!Wengine wanaamini ni mkosi
Ndio.....Flat feet ni ulemavu?
Hii nimethibitisha mimi....How?imethibitishwa kisayansi au imani tu?
Mkuu, kusema moja kwa moja kuwa ni universal inaweza ikawa na ukakasi, lakini inatosha kusema kuwa majeshi mengi kama sio yote hayachukui watu wa namna hii, japo kuna sehemu wanaweza kufanya kazi sehemu nyingine! Hebu pitia hapa uone namna gani watu mbalimbali wanavyoliongelea suala hili suala!JWTZ hawapokei watu wenye flat feet
mimi nimeuliza jeshini...hiyo ni fact
Ninachouliza hapa ni je hizo sababu zao ni universal?au TZ only?
na kama hilo la afya ni scientific proved world wide au ni sisi tu..tunaamini hivyo
Mkuu, kusema moja kwa moja kuwa ni universal inaweza ikawa na ukakasi, lakini inatosha kusema kuwa majeshi mengi kama sio yote hayachukui watu wa namna hii, japo kuna sehemu wanaweza kufanya kazi sehemu nyingine! Hebu pitia hapa uone namna gani watu mbalimbali wanavyoliongelea suala hili suala!
https://www.quora.com/Why-are-peopl...allowed-to-join-the-army-Or-is-it-just-a-myth
Lakini mbaya zaidi, jeshi la marekani lilifikia hatua ya kutaka kumshitaki mtu mmoja ambaye ilibainika kuwa aliingia jeshini kimakosa huku akiwa na tatizo hilo na kushindwa mazoezi! Pitia hapa.
I am a Military Recruiter and would like to clear up some misconceptions., page 15
Hawapokei mkuu! Wao wanasema hiyo ni auto disqualificationKumbe hadi US Army hawapokei watu hawa wenye flat feet..
cc Nyani Ngabu