Watu wenye miguu flat ..wana shida gani?

Dimpoz pia ni ulemavu wanasema ni kilema pendwa.

Nilipitia jarida moja nilikutana na hii kitu.
Na hata mwanya kwenye meno pia.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Wengi nimeshuhudia wakisumbuliwa na matatizo ya miguu
 
all shoes have arc support for supporting arc of the foot ,and this is also applicable for people with weak arc(flat foot).But it doesnt apply for people with severe flat foot
 
Jeshi linataka watu timamu kutokana na ugumu wa kazi wanazofanya. Mtu asiye na uvungu nyayoni anachoka haraka akitembea umali mrefu ni rahisi kupata malenge malenge akivaa buti n.k lkn jeshi pia linataka mtu Mwenye meno yote 32 linataka mvulana rijali linataka msichana na mvulana asiyewahi kuingiliwa kinyume cha maumbile linataka kijana asiye na mshono utokanao na operesheni pia halitaki aliyeathirika na ugonjwa wowote..jeshi linataka kijana mkakamavu kimuonekano na kisayansi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…