Nakubaliana na wewe Kwa Asilimia Mia moja..!Kwa uchunguzi/utafiti nilioufanya.
Mashabiki/wanachama wa SIMBA SC ni binadamu wenye mvuto,uwezo mkubwa sana wa akili,wajanja na umaarufu wenye heshima kuliko watu wengi katika Bara fulani na nchi husika.
Kama unabisha fatilia wanaoiunga mkono SIMBA SC humu Jamii Forums wengi ni binadamu wenye akili nyingi,maarufu,wajanja n.k
Nimetumia neno binadamu kwa makusudi kabsa.
Kama kuna anaepinga basi apinge kwa hoja sio vioja,mipasho,matusi.
Kifupi SIMBA SC ina binadamu wenye akili sana/akili timamu.Sina maana wengine hawana akili timamu ila kila mtu afanye tafiti zake.
Naomba kuwasilisha.
Asante sana kiongozi.Nakubaliana na wewe Kwa Asilimia Mia moja..!
Matokeo ya Utafiti wako yanafanana Moja Kwa moja na Maoni yayoliwahi Kutolewa na Bw.Haji Manara Kuwa Kwengineko kuna Wehu Watupu Ukiondoa Mzee wa Msoga na Babaake...!
Hao mashabiki/wanachama, ni tofauti na wale walioitwa mbumbumbu na Mwenyekiti wenu Mstaafu Ismail Aden Rage!!!Kwa uchunguzi/utafiti nilioufanya.
Mashabiki/wanachama wa SIMBA SC ni binadamu wenye mvuto,uwezo mkubwa sana wa akili,wajanja na umaarufu wenye heshima kuliko watu wengi katika Bara fulani na nchi husika.
Kama unabisha fatilia wanaoiunga mkono SIMBA SC humu Jamii Forums wengi ni binadamu wenye akili nyingi,maarufu,wajanja n.k
Nimetumia neno binadamu kwa makusudi kabsa.
Kama kuna anaepinga basi apinge kwa hoja sio vioja,mipasho,matusi.
Kifupi SIMBA SC ina binadamu wenye akili sana/akili timamu.Sina maana wengine hawana akili timamu ila kila mtu afanye tafiti zake.
Naomba kuwasilisha.
Nikukumbushe jambo Rage alisema kuna wengine yaani baadhi hakutukana wote.Hao mashabiki/wanachama, ni tofauti na wale walioitwa mbumbumbu na Mwenyekiti wenu Mstaafu Ismail Aden Rage!!!
UharooooKwa uchunguzi/utafiti nilioufanya.
Mashabiki/wanachama wa SIMBA SC ni binadamu wenye mvuto,uwezo mkubwa sana wa akili,wajanja na umaarufu wenye heshima kuliko watu wengi katika Bara fulani na nchi husika.
Kama unabisha fatilia wanaoiunga mkono SIMBA SC humu Jamii Forums wengi ni binadamu wenye akili nyingi,maarufu,wajanja n.k
Nimetumia neno binadamu kwa makusudi kabsa.
Kama kuna anaepinga basi apinge kwa hoja sio vioja,mipasho,matusi.
Kifupi SIMBA SC ina binadamu wenye akili sana/akili timamu.Sina maana wengine hawana akili timamu ila kila mtu afanye tafiti zake.
Naomba kuwasilisha.
Haji hakukosea.Uharoooo
Umeelewa nilichoandika kweli? Au ndiyo mambo yale yale!Nikukumbushe jambo Rage alisema kuna wengine yaani baadhi hakutukana wote.
Aliwatukana wale ambao ana ugomv nao.
Ila ndugu Haji Manara yeye aliwatoa watu wachache tu ndio akasema hawa wana akili ila waliobaki ni hamnazo.
Yaani Haji alimaansha hadi wewe ni hamnazo na ili kuonesha hakukosea ile kauli yake mkabidi mumchukue hamnazo mwenzenu maana mligundua yupo upande wa watu wenye akili timamu.
Kauli ya Haji ni kubwa zaidi maana hata nyinyi mnakubali kuwa hamnazo ndio maana mlimvuta hamnazo mwenzenu ili awasaidie muondoe huo uamnazo.
Najua hauwez kunielewa maana Haji alishamalza.Umeelewa nilichoandika kweli? Au ndiyo mambo yale yale!
kwahiyo ile kauli ya mbumbumbu ilikuwa inawalenga akina nani...Kwa uchunguzi/utafiti nilioufanya.
Mashabiki/wanachama wa SIMBA SC ni binadamu wenye mvuto,uwezo mkubwa sana wa akili,wajanja na umaarufu wenye heshima kuliko watu wengi katika Bara fulani na nchi husika.
Kama unabisha fatilia wanaoiunga mkono SIMBA SC humu Jamii Forums wengi ni binadamu wenye akili nyingi,maarufu,wajanja n.k
Nimetumia neno binadamu kwa makusudi kabsa.
Kama kuna anaepinga basi apinge kwa hoja sio vioja,mipasho,matusi.
Kifupi SIMBA SC ina binadamu wenye akili sana/akili timamu.Sina maana wengine hawana akili timamu ila kila mtu afanye tafiti zake.
Naomba kuwasilisha.
Sawa kijana wa Rage.Najua hauwez kunielewa maana Haji alishamalza.
Sawa kijana wa Haji.Sawa kijana wa Rage.