Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
Sikupata mshangao sana yule askari wa Uganda "aliemmiminia" njugu wale officers pale ofisini wala hakumpiga risasi mtu mwingine kwa sababu target yake ni hao officer wenye dharau na kujibu watu hovyo hovyo.
Nyie mliopata nafasi/kubahatika kukaa ofisini wahudumieni watu kwa upendo na staha, ikitokea mtu amekosea acha kukejeli bali elekeza kwa upendo, ego inawatafuna sana na wengi wanajiona kama ndio Mungu watu.
Mzee wangu mstaafu alinituma niende nikafatilie mafao nikamkuta jamaa amekaa ofisini pale kwanza anajibu kwa kujisikia na ukali utadhani anamwambia mtoto mdogo nilichomwambia ache kuongea kama vile anaongea na mtoto mdogo hasira nilizokua nazo basi tu.
Imepita muda sasa baada ya kutamani kumpiga kofi jamaa mmoja baada ya mimi kukosea kitu na kuanza kunijikejeli na kunidhalilisha kwa kujibu hovyo hovyo.
Kwani ukimuelekeza mtu kwa upendo na kujali unapungukiwa na nini? Acheni ego za kipuuzi puuzi haswa kwa mtu usiemjua, hujui ametokea wapi anawaza nini au anapitia nini.
Nawasilisha.