Watu wenye nia mbaya na Serikali walisubiri kusikia wanachokiamini

Watu wenye nia mbaya na Serikali walisubiri kusikia wanachokiamini

Nyabukika

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2022
Posts
1,440
Reaction score
1,046
Kuna baadhi ya watu wenye bia mbaya na Serikali ya Rais Samia Suluhu walikua makini kusikia suala la ushoga lakini haijawa hivyo Rais Samia Suluhu hawezi kuruhusu huo upuuzi katika nchi yetu nimesikiliza speech kwa makini sana Rais Samia Suluhu amejikita katika kuhakikisha Tanzania inaendelea kiuchumi, kisiasa na kijamii
na ndio maaana makamu wa Rais Kamala Harris amempompongeza kwauongozi wake uliotukuka

Amesema:

"Mheshimiwa Rais chini ya uongozi wako, Tanzania imepiga hatua muhimu, mimi na Rais Joe Biden tunakupongeza. Umekuwa wazi kufanya kazi na upinzani wa kisiasa, umeondoa marufuku ya mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa na umeboresha uhuru wa vyombo vya habari."- Kamala Harris

Hii inathibitisha kuwa Dunia nzima inatambua kuwa Tanzania ni salama na Samia na sisi Watanzania tunajivunia kuwa na kiongozi anaeweka mbele maendeleo ya nchi.
 
Back
Top Bottom