Watu wenye nyota zao. Jokate tangu nimfahamu anasoma hawajahi kuwa down

Watu wenye nyota zao. Jokate tangu nimfahamu anasoma hawajahi kuwa down

sinaham

Member
Joined
Mar 31, 2024
Posts
76
Reaction score
90
Jambo la msingi ni kuona mwenzio anapaa anawika ananoga proud proud 👏 kwako jekii nimezoea kukuita kimoyomoyo.

Ninavyompenda jekii jojo hana Maringo. Na hana muda hata time. Nilimuombaga msaada akasema
 
Jambo la msingi ni kuona mwenzio anapaaa anawika ananoga proud proud 👏 kwako jekii nimezoea kukuita kimoyomoyo.

Ninavhompenda jekii jojo hana Maringo. Na hana muda hata time. Nilimuombaga msaada akasema
Sawa
 
Andika taratibu, kaa mahali relax shusha nondo, usilete pambio na taarabu. Au upo unalia sana kwanza huku unaandika?
 
Wasukuma wanaiita nzwiro yaani njia ya chem chem itiririkayo kuelekea kisimani Ili maji yajae!!

Kuna wazazi walitengeneza hiyo kitu kwa wanaukoo wao!wanatiririka kama maji vile na hayaishi sio kiangazi Wala masika!!

kama una bahati hiyo utakula life hadi utachoka ndicho kinachomtokea huyu Bi dada!!
 
Ndugu, siyo nyota.

Mbali ya kuwa ni mrembo kama warembo wengine kinachombeba huyu Jokate ni kwamba ana undugu na Jenista Mhagama .

Huyu Jenista Mhagama yupo kwenye gemu muda mrefu hawezi kushindwa kumbeba nduguye.

Siyo nyota. Ingelikuwa nyota basi Wema Sepenga angekuwa IGP.
 
Jambo la msingi ni kuona mwenzio anapaaa anawika ananoga proud proud [emoji122] kwako jekii nimezoea kukuita kimoyomoyo.

Ninavhompenda jekii jojo hana Maringo. Na hana muda hata time. Nilimuombaga msaada akasema
Mwenzako anajua kukitumia kiduduwasha chake kumpandisha chati
 
Ndugu, siyo nyota.

Mbali ya kuwa ni mrembo kama warembo wengine kinachombeba huyu Jokate ni kwamba ana undugu na Jenista Mhagama .

Huyu Jenista Mhagama yupo kwenye gemu muda mrefu hawezi kushindwa kumbeba nduguye.

Siyo nyota. Ingelikuwa nyota basi Wema Sepenga angekuwa IGP.
Haaa haaaa why IGP na si mnyikuru
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Back
Top Bottom