Watu wenye Single Room: Leo ngoja tuwasaidie kupangilia Chumba chako

Watu wenye Single Room: Leo ngoja tuwasaidie kupangilia Chumba chako

Huwa kuna classes zao ila wengine wana ufahamu sasa utawakuta kwenye zile restaurant zao mazoea na interest kidogo wanakupa somo Mkuu.
Hatari sana
Hii mara ya kwanza niliona kwenye TV wenzetu wakiwa katika hatua ya kununua majumba wengi wana request mtaalam wa hii huduma
 
Yani niishi kwenye chumba 1 niwe na sitting room😆😆😆niwe na furniture duh !cha muhimu kitanda ,TV na friji.
 
Nmeelewa sana hii plan ila hapo kwny "kataa ndoa" ndo umeniacha kdogo npe ufafanuzi
 
Back
Top Bottom