Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wape mbinu za kufutaAnasema kuwa anajuta kuchora Tattoo kwenye mwili wake lakini cha kushangaza ni hataki kuzifuta hizo Tattoos.
Wengine sasaivi wamegeukia upande wa dini lakini bado wanazo hizo Tattoos na hawataki kuzifuta.
ACHENI UNAFIKI AISEE!
UZI TAYARI