Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,058 Reaction score 14,382 Aug 12, 2024 #1 Anasema kuwa anajuta kuchora Tattoo kwenye mwili wake lakini cha kushangaza ni hataki kuzifuta hizo Tattoos. Wengine sasaivi wamegeukia upande wa dini lakini bado wanazo hizo Tattoos na hawataki kuzifuta. ACHENI UNAFIKI AISEE!
Anasema kuwa anajuta kuchora Tattoo kwenye mwili wake lakini cha kushangaza ni hataki kuzifuta hizo Tattoos. Wengine sasaivi wamegeukia upande wa dini lakini bado wanazo hizo Tattoos na hawataki kuzifuta. ACHENI UNAFIKI AISEE!
Sinoni JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 6,581 Reaction score 11,572 Aug 12, 2024 #3 Hapo uongo upo wapi? Nimesha comment
S sysafiri JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 6,845 Reaction score 10,071 Aug 12, 2024 #4 Nadhani kuzifuta ndiyo changamoto!
mwaibile JF-Expert Member Joined Nov 16, 2022 Posts 727 Reaction score 2,004 Aug 12, 2024 #5 Mjanja M1 said: Anasema kuwa anajuta kuchora Tattoo kwenye mwili wake lakini cha kushangaza ni hataki kuzifuta hizo Tattoos. Wengine sasaivi wamegeukia upande wa dini lakini bado wanazo hizo Tattoos na hawataki kuzifuta. ACHENI UNAFIKI AISEE! UZI TAYARI Click to expand... Wape mbinu za kufuta
Mjanja M1 said: Anasema kuwa anajuta kuchora Tattoo kwenye mwili wake lakini cha kushangaza ni hataki kuzifuta hizo Tattoos. Wengine sasaivi wamegeukia upande wa dini lakini bado wanazo hizo Tattoos na hawataki kuzifuta. ACHENI UNAFIKI AISEE! UZI TAYARI Click to expand... Wape mbinu za kufuta