Papillon 1906
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 228
- 753
Kujiongeza mkuu hakuna namnaHuwa tunajiongeza.
Swali: Kivipi?
Jibu: Sina jibu
Hayanaga bibi wala babu yanawatesa wotehivi hadi watu wenye umri mkubwa huwa wanaililia? kiukweli kile kitendo kinachekesha uwih🤭🤭😂
yani sio kuwatesa, naamnisha vile vilio wakati wa tendo, kwan wao hawaoni aibu🤣🤣Hayanaga bibi wala babu yanawatesa wote
Kwenye tendo unakuwa sio wewe tena yaani akili unaicha kwanza maana utamu wake sio wa nchi hiiyani sio kuwatesa, naamnisha vile vilio wakati wa tendo, kwan wao hawaoni aibu🤣🤣
aiseee🤣🤣 haya bwanaKwenye tendo unakuwa sio wewe tena yaani akili unaicha kwanza maana utamu wake sio wa nchi hii
Wengi wanapunguza uchu wa ngono kwa kujichua mara kwa mara au tendo la ndoa. wengine wanapendekeza kuoa mtu mwenza mwenye uchu kama wako.
Baadhi wanashauri kufanya mazoezi au kununua vifaa ngono (sex toys).
View attachment 3616505
Uchu wa ngono ndio nini??? Kilaza mie kichwa kigumu kuelewa
Njoo nikuoneshe uchu wa ngono upoje...Uchu wa ngono ndio nini??? Kilaza mie kichwa kigumu kuelewa