WATU WENYE UCHU MKUBWA WA NGONO MNAPAMBANA VIPI NA HALI HIYO

WATU WENYE UCHU MKUBWA WA NGONO MNAPAMBANA VIPI NA HALI HIYO

Kuna watu baadhi ngono wanaipenda kuliko kawaida sio umalaya Ila anajisikia kufanya

Kuna watu wenzi wao wanakuwa wanakwazika na hali hiyo

Sasa sijaelewa bado Ila sio mapepo wala kutokuwa na kazi vingine nadhani ni hulkq binafsi
 
Nisipokuwa na pesa siwazi kabisa sex, nikiwa na pesa nawaza kuiwekeza, yaani sex kwangu ni mwisho mwisho kabsa
 
Back
Top Bottom