Umeelewa alichokiandika mleta mada Au umekimbilia ku justify uzezeta wako?!Wanakufa kwa sababu ya ulaji wa kitimoto na mapombe..watu wa huko wanasifa hiyo kubwa hivyo magojwa kama kisukari..hypertension ni kawiada kwao..hivyo korona ikiingia ni dakk zero wamekwenda na maji.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Khaaaaaa umeelewa mada KweliWanakufa kwa sababu ya ulaji wa kitimoto na mapombe..watu wa huko wanasifa hiyo kubwa hivyo magojwa kama kisukari..hypertension ni kawiada kwao..hivyo korona ikiingia ni dakk zero wamekwenda na maji.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Khaaaaaa umeelewa mada Kweli
Ni hatare kabisaHii ndiyo sampuli ya wajenzi wa taifa tulionao
Japan ndio ina watu wanaoishi umri mkubwa zaidi duniani. Kwa Afrika sijajuaMoshi huko kuna afro-diet yani 50-50 kuna uwafrika kidogo + uzungu kidogo ndio maana watu wa huku wana life expectancy refu, na sio tu moshi bali hii northern zone yote
Mbona umelipukia mada kama Bomu la Hiroshima na Nagasaki. Rudi kasome post ya mleta mada uielewe.Wanakufa kwa sababu ya ulaji wa kitimoto na mapombe..watu wa huko wanasifa hiyo kubwa hivyo magojwa kama kisukari..hypertension ni kawiada kwao..hivyo korona ikiingia ni dakk zero wamekwenda na maji.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza kunywa pombe chafu kitonkoWanakufa kwa sababu ya ulaji wa kitimoto na mapombe..watu wa huko wanasifa hiyo kubwa hivyo magojwa kama kisukari..hypertension ni kawiada kwao..hivyo korona ikiingia ni dakk zero wamekwenda na maji.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Japan wanakula Sana samaki, dried food, kazi sana, seafoods Zina content nzuri ya kuongeza lifeJapan ndio ina watu wanaoishi umri mkubwa zaidi duniani. Kwa Afrika sijajua
Some uelewe ndipo ujibu mkuuWanakufa kwa sababu ya ulaji wa kitimoto na mapombe..watu wa huko wanasifa hiyo kubwa hivyo magojwa kama kisukari..hypertension ni kawiada kwao..hivyo korona ikiingia ni dakk zero wamekwenda na maji.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko Moshi nina covid 19Nimetoka kuzika Moshi kisha badae Arusha.
Hali mbaya.
Umeandika nini sasa?Wanakufa kwa sababu ya ulaji wa kitimoto na mapombe..watu wa huko wanasifa hiyo kubwa hivyo magojwa kama kisukari..hypertension ni kawiada kwao..hivyo korona ikiingia ni dakk zero wamekwenda na maji.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app