Watu wenye umri mkubwa wanataokea Moshi, mikoa mingine hawatangazwi au hakuna?

Sala hiyo utaitoa kwa Mungu yupi, kupitia dini ipi? Kwa sababu umesema kuwa dini za Ukristo na Uislamu ni za uongo, tuambie mkuu, huenda kuna Mungu mwingine mbali na tumuombaye na tuliyemzoea, ambaye wewe unamfahamu na anastahili kufanyiwa sala. Tuambie tafadhali!

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Hakika wazee wetu wamebarikiwa sana na si katika hili la umri tu hata siha njema bibi mzaa baba ana miaka 98 na hapo ni kwa mujibu wa cheti chake cha ubatizo 98.
 
Daaaa!!! Mwalimu wako ulimmiza sana!!! Kama hiyo article rahisi hivyo hujaelewa sipati picha mwalimu wako wa physical geo alitesekaje!!!
 
Japan wanakula Sana samaki, dried food, kazi sana, seafoods Zina content nzuri ya kuongeza life
Yan kuna jamaaa moja alikuwa anasoma japn nilishangaa akija tz alikuwa anazoa dagaa nyama hata debe akasema kule ni mali sana nilishangaa
 
Yan kuna jamaaa moja alikuwa anasoma japn nilishangaa akija tz alikuwa anazoa dagaa nyama hata debe akasema kule ni mali sana nilishangaa
Dagaa Japan ni Kama chakula Cha heshima sana, hasa kwenye festival zao.
 
Yan kuna jamaaa moja alikuwa anasoma japn nilishangaa akija tz alikuwa anazoa dagaa nyama hata debe akasema kule ni mali sana nilishangaa
Nyama ni bei ghari sana, nyingi Wana import toka USA, Australia
 
Asee chukua pande mbili na bia nne kwa mallya ntalipia.
 
Mkuu wewe ulikaririshwa kuwa dini ni uislamu na ukristo tu eti?
 
Huyo kafa umri mdogo my grandmother kafa na miaka 110 hivi na hakutangazwa
 
Nadhani hujamuelewa mleta mada

Punguza kukurupuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…