Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
tendea wengine yale ambayo na wewe ungependa utendeweView attachment 3158414
Kuepuka kuumia wakubali watu kama walivyo na sio kwa vile unavyotaka wao wawe. Kwasababu hawawezi kuwa kama unavyotaka
Tafuta amani kwa kufanya mambo yako na sio kufuatilia maisha au mambo ya watu wengine
Jiangalie na kujithamini wewe mwenyewe kwasababu lolote likikupata watu wanaendelea na maisha yao
Kila mtu baada ya mda fulani atajianika kwa tabia zake kwahiyo wewe wape mda tu
Asante kwa kusoma
Ni hayo tu
Kwa hiyo kama mtu anataka anyongwe na yeye anyonge?tendea wengine yale ambayo na wewe ungependa utendewe
Ni sahihi kabisatendea wengine yale ambayo na wewe ungependa utendewe
Mkuu shukrani Sana ...View attachment 3158414
Kuepuka kuumia wakubali watu kama walivyo na sio kwa vile unavyotaka wao wawe. Kwasababu hawawezi kuwa kama unavyotaka
Tafuta amani kwa kufanya mambo yako na sio kufuatilia maisha au mambo ya watu wengine
Jiangalie na kujithamini wewe mwenyewe kwasababu lolote likikupata watu wanaendelea na maisha yao
Kila mtu baada ya mda fulani atajianika kwa tabia zake kwahiyo wewe wape mda tu
Asante kwa kusoma
Ni hayo tu
Sehemu moja wapo maarufu ni app ya QuoraMkuu shukrani Sana ...
Sorry naweza kuniambia source ya kupata haya Maarifa?
Shukrani Sana mkuuSehemu moja wapo maarufu ni app ya Quora