Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Kuepuka kuumia wakubali watu kama walivyo na sio kwa vile unavyotaka wao wawe. Kwasababu hawawezi kuwa kama unavyotaka
Tafuta amani kwa kufanya mambo yako na sio kufuatilia maisha au mambo ya watu wengine
Jiangalie na kujithamini wewe mwenyewe kwasababu lolote likikupata watu wanaendelea na maisha yao
Kila mtu baada ya mda fulani atajianika kwa tabia zake kwahiyo wewe wape mda tu
Asante kwa kusoma
Ni hayo tu!