Rog chimera
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 398
- 706
Ahsante mkuu kwa mchango wako , naheshimu mawazo ya kila mtu.basi acha ubaki kuwa uchunguzi wako SHAME ON YOU.
Si utakua Tarzan?We umekutana na wafugaji wadogo siku ukikutana na wafugai wakubwa utaliaaa , assume home kwako kuna kuku 5000,ng'ombe 10, nguruwe 100, bata 30. Kazini unaenda kufanya nini
Ahsante mkuu kwa mchango wako .ππππMimi nimeajiriwa ila najua mawazo mgando kama haya ndio yanayotufanya waajiriwa tunakufa masikini. Ni mawazo ya hovyo sana.
Hata kama nimemzidi kipato huyo unayemuita mwenye kimradi cha kufuga kuku, tambua amekuzidi mambo mengi sana. Uhuru, ubunifu, experience na uwezo wa kukuza au kubadili biashara yake hiyo.
Ngoja siku kitumbua kiingie mchanga ndio utapata akili hapa mjini au unadhani wanaopoteza kazi ni maboya?
Naona mkuu kama una dalili za wivu na kukata tamaa!!
Mkuu umesoma ile NB: hapo juu?Acha kupotosha , mradi wa kuku ukisimamia vizuri unalipa . Kwanza ni kazi yako mwenyewe tofauti na kuajiriwa hakuna mtu wa kunifokea kwani mimi ndio bosi . Zingatia mradi wako utakutoa
[emoji23] nmecheka jamani uwiiSi utakua Tarzan?
Haha Tarzan boySi utakua Tarzan?
Mkuu nikushauri kitu ikiwa utaniruhusu! Badili kabisa approach yako kwa hawa wajasiriamali wadogo!Ahsante mkuu kwa mchango wako .ππππ
Ahsante mkuu , bado umeajiriwa???ππMkuu nikushauri kitu ikiwa utaniruhusu! Badili kabisa approach yako kwa hawa wajasiriamali wadogo!
Jishushe, fanya urafiki na hao watu, jifunze maarifa yao, mapito yao na changamoto walizo nazo; waombe wakueleze fursa zao na malengo yao! Hakika utakuwa na hekima kama ile ya Mfalme Suleiman. Jaribu utanielewa. Na hekima hiyo itakusaidia sana maishani.
Ndio mkuu ila kasalary kote nainject kwenye miradi and will soon quit. Nina majuto tu sikuanza mapema!Ahsante mkuu , bado umeajiriwa???ππ
Safi mkuuNdio mkuu ila kasalary kote nainject kwenye miradi and will soon quit. Nina majuto tu sikuanza mapema!
Ujinga ni pale kila aliyeajiliwa anachukia kazi yake, anathamini kufuga kuku kuliko ajilaNini rai yako mkuu waache kufuga kuku wakaajiriwe?
Sio kila mtu anafuga anafanikiwa.
Kama huamini jaribu uone.
Nadhani wewe ni mmojawapo....so una stress za kushindwa mradi
We ni miomgoni mwa wale wasiotumia akili, mnadhani maisha yanaanza na hela, ni ulimbukeni wa vijana siku hizi kudhani kujiajiri ni kuingiza hela kwa miradi inayoweza kuwa duplicated kiurahisi na watu wengine. Badala ya kupenda kazi zetu, kuwa wabunifu, tumekuwa na mawazo makapi ya kusikia eti ufugaji wa kuku unalipa kila mtu anakimbilia huko huko, yaani nakuhakikishia ukiacha kazi kwa huo mradi wako ambao kila mtu anaweza copy na kufanya utajutaNdio mkuu ila kasalary kote nainject kwenye miradi and will soon quit. Nina majuto tu sikuanza mapema!