Watu wenye vimradi vya kufuga kuku na kelele za kujiajiri

Watu wenye vimradi vya kufuga kuku na kelele za kujiajiri

Assalam Aleykum wakuu

Katika uchunguz wangu nimegundua watu wenye vimradi vidogo vidogo ndio wamekuwa wakipiga kelele nyingi kuhusu swala la kujiajiri na wamekuwa wakiwadharau na kuwadhihaki wenzao walioko kwenye ajira.

Wengi wao pato wanalopata kutoka kwenye ujasiriamali wao huo ni dogo sana na wanapata tabu sana ukilinganisha na wale walioajiriwa ambao wanawadharau.😀😀😀😀.

NB: Neno wafuga kuku halija wa target wafuga kuku kama unavyofikiria , soma utafakari kwa makini.
Hawa ndo aina ya watoa mawazo mapya kwenye hili jukwaa? Bora kukaa kimya
 
Hahahaha mkuu una utani na bakhresa.
Haaa Stori za kijiweni analeta JF.
-Kuna vitu vingi vilivyofichika nyuma ya utajiri wa hawa so called "MATAJIRI" hizi za sijui alianza kuuza kashata mara maji baridi ni "FUbrication" tu lakini behind the scene ni mambo mazito waliyofanya.
 
Assalam Aleykum wakuu

Katika uchunguz wangu nimegundua watu wenye vimradi vidogo vidogo ndio wamekuwa wakipiga kelele nyingi kuhusu swala la kujiajiri na wamekuwa wakiwadharau na kuwadhihaki wenzao walioko kwenye ajira.

Wengi wao pato wanalopata kutoka kwenye ujasiriamali wao huo ni dogo sana na wanapata tabu sana ukilinganisha na wale walioajiriwa ambao wanawadharau.😀😀😀😀.

NB: Neno wafuga kuku halija wa target wafuga kuku kama unavyofikiria , soma utafakari kwa makini.

Nadhani uchunguzi wako mkuu ulitakiwa ujikite zaidi katika kutambua ni kwa nini wanapiga kelele.

1. Hawa wafugaji japo wadogo wana haki ya kupiga kelele kwa sababu, wameweza kubuni na kuendesha hata kama ni kuku kumi. Kumfuga kuku hata kama ni mmoja tayari inahitaji kujituma, ubunifu na utatuzi wa changamoto mbalimbali. Kufuga kuku sio ku copy na ukitaka kuhakiki, jaribu uone. wemgi wanajaribu lakini changamoto zinawatoa kwenywe game. Hivyo tuwaache washangilie ushindi. Wanahitaji tu kuongezewa uoelewa au mitaji ili wakue zaidi.

2. Kuajiriwa ni kuzuri na inategemea na ajira yenyewe. Kama inkulipa vizuri ni kheri. Lakini pia kuwa na ajira pasipo kuwa na mawazo mbadala ni shida kwani ajira hiyo hutadumu nayo maisha yako yote. Kama si kutolewa basi utastaafu. Ni wastaafu wangapi walipwa mafao yao na kujiingiza kwenye biashara ambazo hata hawana ufahamu nazo wanaishia pabaya. Ushauri hata kama una ajira, toka nje ya box, fikiria vitu vingine zaidi ya kazi. Kazi ni masaa 8 kwa siku. muda mwingine unautumiaje. Kwa nini usiutumie kufikiria kitu kingine cha kukuongezea kipato.

3. Asilimia 80 ya watu wanaofanya kazi si asili yao ni kwa vile zinawapa mshahara. Kuna vitu ambavyo toka wamezaliwa viko damuni. Hivyo kuvifanya kwa muda wako wa ziada ili siku watakapokuwa hawapo ajirani wavifanye kwa ufanisi zaidi.
 
Back
Top Bottom